Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,139
hongera.na mimi nitatafuta wangu soon
soon unamaanisha kapatikana ndioyuko kwenye vipimo au??
na mimi natafuta...!!
hongera.na mimi nitatafuta wangu soon
Wengine Mbona Hatupati Jamani?
aaahh arushe wakware wamdake....!! usikubali... anakupeleka chochoah mrushe bana!
aaahh arushe wakware wamdake....!! usikubali... anakupeleka chocho
wenzie twala madhabahuni na madarasani shauri yake yeye abakia na maadili maadili!lol
Kasheshe nyingine ipo hapo...ninaowazimia hapa JF wote wanajua 'kuchonga' hao! Hivi Preta unamtongozaje!? bora tu style yetu ya kiChagga ya kuhonga, atleast inaepusha vibuti!
mmhh hilo jina limenikumbusha wimbo wa twanga pepeta.....pitia kwangu mie ntakusomeshea,wa kunyumba wangu huyo atanisikiliza sana tu, andaa pesa za vinywaji vya kutosha tu, hapo red kaka na wewe wa kizamani sana jamani, siku hizi wanaume hawaongi bwana sisi ndio tunawahonga....uko nyuma sana na starehe za dunia zinavyoenda.
mmhh hilo jina limenikumbusha wimbo wa twanga pepeta.....
katika wanawake kumi wewe utakuwa mmoja wao tu....
wanawake wengi wanaohonga naona siyo wazuri... hawana sura za mvuto kama wewe
aahhh na hiyo Avantar yako kama komba mwiko ndio hupatiii kabisaaa
hahahaha avatar kama komba mwiko..!!dah!
Ni Hilo Tu...Au Kuna Jingine??
Basi Nafanya Mikakati Ya Kubadirisha Ili Nami Nipate!
hahaha jamaa muoga kweli, mmojawapo mie ninaemtafutaga kwa sana pm, sijui hanielewi? hahaha
hahahaha avatar kama komba mwiko..!!
huyo pitia kwangu mie ntakusomeshea,wa kunyumba wangu huyo atanisikiliza sana tu, andaa pesa za vinywaji vya kutosha tu, hapo red kaka na wewe wa kizamani sana jamani, siku hizi wanaume hawaongi bwana sisi ndio tunawahonga....uko nyuma sana na starehe za dunia zinavyoenda.
lipitalo hupishwa....kwani mchama ago hanyeli....huenda akauya papo na zaidi ya hapo.....kila chombo kwa wimbile....
usiwe na kisebusebu wala kiroho papo....kwani kwa kila asemaye mia mia leo mia jana kala nini....ganda la muwa la jana.....chungu kaona kivuno....
Wow...