Asante JF Founder

Asante JF Founder

Maadili yanabana...haturuhusiwi kuwa na uhusiano wa kiMapenzi na wagonjwa wetu!

Halafu si unajua tena sie waChagga kutongoza zero...unahonga weeee, mpaka mwenyewe akuonee huruma!
ahahahahhahahhaha shemejiiii!
 
shit wengine hatuna bahati kabisa...kama vp tutambuane nani ni mwanaume na nani mwanamke..
 
jamaan mnapataje wenza wakati watu awawek picha ata majina si yao,wengine wanaume lakin utumia majina ya kike,au ndio kubahatisha

nyuma ya pazia kuna kitu kinaitwa PM
Pili onensha nia yako mkuu, kule Love Connect...
 
Maadili yanabana...haturuhusiwi kuwa na uhusiano wa kiMapenzi na wagonjwa wetu!

Halafu si unajua tena sie waChagga kutongoza zero...unahonga weeee, mpaka mwenyewe akuonee huruma!

Wewe ukiendekeza maadili uta doda
we Dokta mwenye vyeti unashindwa hata na MziziMkavu
mwenye wake kadhaa hapa JF..inakuwaje?

Kula kazini kwako bana lol
 
Last edited by a moderator:

Kasheshe nyingine ipo hapo...ninaowazimia hapa JF wote wanajua 'kuchonga' hao! Hivi Preta unamtongozaje!? bora tu style yetu ya kiChagga ya kuhonga, atleast inaepusha vibuti!
 
Maadili yanabana...haturuhusiwi kuwa na uhusiano wa kiMapenzi na wagonjwa wetu!

Halafu si unajua tena sie waChagga kutongoza zero...unahonga weeee, mpaka mwenyewe akuonee huruma!

hahaha hapo kwenye kuhonga ndo nimepapenda!
 
Hongera sana mkuu! Msalimie sana mwambie mbona amekuwa aonekani humu siku hizi.

Ntashangaa ukiulizwa ni nani huyo wakati umemtaja kabisa!

Hongera sana!
 
Duh...kumbe watu wanaopoa humu, sie tumebaki tunang'aa ng'aa macho! Ngoja nami nianze kuwa 'mgaa gaa na upwa...'!

lipitalo hupishwa....kwani mchama ago hanyeli....huenda akauya papo na zaidi ya hapo.....kila chombo kwa wimbile....
usiwe na kisebusebu wala kiroho papo....kwani kwa kila asemaye mia mia leo mia jana kala nini....ganda la muwa la jana.....chungu kaona kivuno....
 
ahnaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa shemeji ahsante sana bana!
JAMANI cutetoto hongera kwa kufanya huyu mkuu ajisikie namna hii doh!
 
Last edited by a moderator:
mwaya cutetoto nakuona hapo chini how does it feel kuona mupenzi anafunguka juu yako namna hii?
nilivo mmbea!
 
Last edited by a moderator:
Ina maana woote wanaokufuata kukuuliza
maswala ya magonjwa huja opoa hata mmoja?

au unafikiri wote ni wagonjwa kweli?

wengine wanajileta kubahatisha vitz uliyoahidi hapa lol

hahaha jamaa muoga kweli, mmojawapo mie ninaemtafutaga kwa sana pm, sijui hanielewi? hahaha
 
Back
Top Bottom