Asante Festo kwa kuniponyesha pumu

Asante Festo kwa kuniponyesha pumu

Kigwangala aliweza kuwathibiti vizuri sana mpaka kiranja wenu mkuu "Mwaka" jana akakimbilia kusiko julikana. Sasa amahamishwa wizara mnarudi kinyumanyuma. Brother huo ni ujanja wa marketing wa kizamani . Utawapata lakini wajingajinga maana kila sekunde wanazaliwa wajinga 100. Uuajichanganya unavyotaja jina la dawa tena gumu na namba ya simu unaweka. Wewe ndio mtu huyo huyo, umetunga hadithi ili uwapate na utawapata kweli nadhani huko PM sasa hivi zimesheheni MSG za kufa mtu
Unawezaje kumfahamu mtu bila kufanya naye mawasiliano ukamuhoji kwa kina kuhusu dawa yake kabla ya kununua , wazo lako ni la kumkatisha mtu tamaa na kutoa hitimisho bila kumfahamu
 
[HASHTAG]#mods[/HASHTAG] siijaandika hapa kutangaza dawa ya mtu ...
daily mie naandika kwa hisia zangu! PLS FUTENI HUU UZI....
Hapana uzi usifutwe... Elewa kuwa kuna ambao ni waelewa ambao wataelewa kile ulichoandika na ambao si waelewa hata kidogo... Kupitia huu uzi wako watu watapata kupona PUMU hivyo ni muhimu akaendelea kuwepo... Hzo ni changamoto tu za maisha zipo
 
Nilijua unamuongelea Mzee wa Bajeti ya Milioni 80 ya Msiba wa NIT Sister Bwana Festo Kavishe.
 
m nikajua umepona na sasa hautumii dawa kabisa, ila kama bado uko under medications mbona kawaida hiyo mkuu.....,,, maana pumu si tatizo kubwa kihivyo linadhibitiwa kwa urahisi kabisa na dawa za kawaida
 
Mbiti na Mimi jamani ni muhanga nisaidie plz...

husna nimeitaja humhum...anayenifaham kwa miaka ya hv karibuni atakbali i was sick...mie zaid ya 89% pics zangu nilikua naweka blak n white! jicho lilikua nyanya! jaribu uitumie..nimeacha hata kuvaa sweaters kbs nw!pole
 
Unawezaje kumfahamu mtu bila kufanya naye mawasiliano ukamuhoji kwa kina kuhusu dawa yake kabla ya kununua , wazo lako ni la kumkatisha mtu tamaa na kutoa hitimisho bila kumfahamu

plock content ya uzi wangu ilikua kushukuru tu...sina ht huo muda kumpigia promo mtu... wengn wanahs wote waganga njaa!mxiew
 
m nikajua umepona na sasa hautumii dawa kabisa, ila kama bado uko under medications mbona kawaida hiyo mkuu.....,,, maana pumu si tatizo kubwa kihivyo linadhibitiwa kwa urahisi kabisa na dawa za kawaida

hakuna ht mmoja anayeweza elewa nilivyokua naumwa !ht ww umo humo...!
 
Ni dawa gani hiyi maana nina ndugu anasumbuliwa sana na hiyo kitu
 
Ni dawa gani hiyi maana nina ndugu anasumbuliwa sana na hiyo kitu

nisamehe mkuu..soma comments zote ..kadri navyoiandika naambiwa nafanya promo!i hate it...me nimetumia chupa 10..nasubiria masika nione..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom