Unanunua kiasi gani dada ?naenda dar soon ntakununulia worry not
Ya 4000 ni ya watoto ?nimeask bei,,4000/ kwa 7000/
Anhaa so dawa zote mbili ndo zinakamilisha dose sio? If yes, Hapo nimekuelewahaijaandikwa kwa watoto hzo ni dawa mbili,,ndo nilizotumia mm !vipimo vya watoto wameandika !kila la heri
Ok nitamtafuta huyo aliyekutafutia dawa kwa no yakeyeah