Asante Festo kwa kuniponyesha pumu

Asante Festo kwa kuniponyesha pumu

hahahhaha yangu!mie sijawah andika vitu vya kudanganya!sina hata sred moja ya alfu ulelaullela!
ni mm ,,,
Duh... basi pole sana. Kwanini hukunambia una holo tatizo? Ningekuwa nshakutatulia tatizo... afu ungenizawadia kitu kitamu...
 
Duh... basi pole sana. Kwanini hukunambia una holo tatizo? Ningekuwa nshakutatulia tatizo... afu ungenizawadia kitu kitamu...

hahaha we nae siwalewale wa nyagi tu!..sitakii
 
How it's works: kwanza story inakuwa na main character na hapa ni festo...then atasifiwa Sana na kufanya aonekane kama ni mtu Mzuri sana...then Kuna watu WAtaingia DM kumsaka festo.... Na Kuanzia hapo watu Watapigwa ela...
NB: this is my assumption
 
[HASHTAG]#mods[/HASHTAG] siijaandika hapa kutangaza dawa ya mtu ...
daily mie naandika kwa hisia zangu! PLS FUTENI HUU UZI....
 
How it's works: kwanza story inakuwa na main character na hapa ni festo...then atasifiwa Sana na kufanya aonekane kama ni mtu Mzuri sana...then Kuna watu WAtaingia DM kumsaka festo.... Na Kuanzia hapo watu Watapigwa ela...
NB: this is my assumption

Duh! aisee! ungejua sinaga ht muda wakukaa bure usingesema!

huenda nimeiandika kimatangazo... sipo kusumbukka hapa my dear ...am relaxed
 
unaenda siko aisee !namthamini huyu
Hivi wanawake huwa mkoje lakini!? Mnawavulia watu msio waheshimu!!! No wonder wanawamega na kusepa!!!

Huwa inatokea Kama binti mnaheshimiana Ukimtongoza utasikia "Yaani wewe nilikuwa nakuheshimu... "!

Sasa Sijui huwa mnapenda watu msiowaheshimu!? Mpe bhana hiyo Zawadi ya ushindi, ndo Zawadi boooora kabisa kwa mtu unayemheshimu Kama Festo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom