Asante Festo kwa kuniponyesha pumu

Asante Festo kwa kuniponyesha pumu

Hivi wanawake huwa mkoje lakini!? Mnawavulia watu msio waheshimu!!! No wonder wanawamega na kusepa!!!

Huwa inatokea Kama binti mnaheshimiana Ukimtongoza utasikia "Yaani wewe nilikuwa nakuheshimu... "!

Sasa Sijui huwa mnapenda watu msiowaheshimu!? Mpe bhana hiyo Zawadi ya ushindi, ndo Zawadi boooora kabisa kwa mtu
unayemheshimu Kama Festo.

duh ... eti nimekosa la kujibu
 
Festo popote ulipo NAKUSHUKURU HADI NAINGIA KABURINI!umenipa tabasamu upyaa naringa mimi...au tuunge undugu jamani!najua ngumu pia !
nimpe zawadi gani jamani huyu kaka?
Sijaandika username yake kupishana na jam!

Madaktari hutimiza wito wao tu kutoa tiba kwa wagonjwa/wenye matatizo ya kiafya...

Na ni faraja zaidi na pia zawadi murua wakiona ona mgonjwa kapata siha njema baadaya ya kutibiwa naye...

Hivyo hilo la zawadi hata usiliwaze bi mkubwa...
 
Mimi kina ndugu yàngu anaumwa pumu, nitaomba kukutanishwa na Festo
 
Madaktari hutimiza wito wao tu kutoa tiba kwa wagonjwa/wenye matatizo ya kiafya...

Na ni faraja zaidi na pia zawadi murua wakiona ona mgonjwa kapata siha njema baadaya ya kutibiwa naye...

Hivyo hilo la zawadi hata usiliwaze bi mkubwa...

ni kweli!ila ninawiwa mno
 
Madaktari hutimiza wito wao tu kutoa tiba kwa wagonjwa/wenye matatizo ya kiafya...

Na ni faraja zaidi na pia zawadi murua wakiona ona mgonjwa kapata siha njema baadaya ya kutibiwa naye...

Hivyo hilo la zawadi hata usiliwaze bi mkubwa...
Kumbe...
 
Ndio ipo hivyo, udaktari ni wito...

La sivyo kwa mishahara yake kwenye nchi zetu za kajamba nani, hakuna mtu angetamani kuendelea kuwa daktari...
Aisee Mungu awape maisha marefu yenye baraka. Ila sikujua unaitwa Festo..natania hee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom