ukirudi likizo nistueHuyu kaka nashindwa kuelewa km ni malaika au ni binadamu wa kawaida!
sikumbuki ilikuaje kukutana pm!
kama kawaida ya wanawake kujiachia shida zao nikamwambia ninasumbuliwa sana na pumu.
Nilikua nimekata tamaa sana ya kupona! nilikuwa naumwa kila kitu!
mbavu (kwaajili ya kukohoa) ilikua nakohoa nonstop !kikohoz kikavu kama nimepaliwa vile au nimesikia harufu ya pilipili
- Macho yangu yalika red km ya 'chege',hayana raha kuyatizama,
- Uso ulikosa nuru kwasabab maranyingi sikua nalala
- Nilikosa furaha ,nilikua na sononi si ya nchi hii,nilikua nakesha kwa kuwashwa macho,kukohoa
- Nilikuwa nakohoa hadi natapika imagine kila siku nakesha macho!no one cares.Saa 10 usingizi unakuja...(hadi nikaacha kazi tumbaku).
Nimetumia dawa zoooote za macho na kifua ,ilifika kipindi nagomea dawa nawaomba wanipe mpya,nilivaa lensi had nikachoka nikaacha. Hapo sikuwa najua naumwa nini mwaka 2017 ndo nikakutana na Dk Mwankenja akaniambia nina bronchial asthma. Imagine toka 2000yr bado binti kbs, akanianzishia sindano zilikua zinanisaidia kwa kipindi kifupi sana.
Nilikatazwa kunywa soda,bia,wine,nyama,maziwa,sukari ngano(imagine vyot hivi nisile)
Sasa huyu kaka akanieleza atanisaidia kunitaftia dawa nipone ,ukwel nlimkubalia tu nikijua hapa hakuna kitu alisafiri nje akaniambia mbiti nipo kukutaftia dawa nilikua najibu sawa kaka.
Dec akanitumia dawa ukweli sikua na moyo wa kuinywa coz nilikua nimejikatia tamaa,nilikua nalaumu kwanin mimi sifi. Wanangu walikua wakinionea huruma mno,Baba yangu baada ya kuambiwa nina pumu alikuja akaniambia nayeye aliugua miaka ya 1958 akakaa kwa mganga wa kienyeji kwamiaka 2 haaahhhh nayy alikua anakohoa sana mpaka leo anakohoa daily ila si kwa kiwango changu (ila yy hakuwahi ambiwa ana pumu)
leo nipo hapa kumshukuru huyu kaka(FESTO),nawaza daily huyu mtu nimpe asante ya aina gan najikuta nakosa kwasababu mm ni maskini!amekua akinitumia hizo dawa(kwa gharama zake) na kunikumbusha daily kunywa dawa(hebu fikiria jamani!tena nabembelezwa nisiache kunywa)
Niliwaza ninunue nguo bado nikahis haitoshi,nimpe mbuzi ale bado nahisi hatoshei,
Hivi nimshukuruje huyu mimi!
kwasabab sasa hv nakula kila kitu bila mwili kureact allergy jana tu nimegonga 'desperado' aku nimelala fresh (nimebakiza testing mmoja kipindi cha masika baas!)
Au nikiongeza mtoto akiwa 'he' nimpe jina la Festo!!
Festo popote ulipo NAKUSHUKURU HADI NAINGIA KABURINI!umenipa tabasamu upyaa naringa mimi...au tuunge undugu jamani!najua ngumu pia !
nimpe zawadi gani jamani huyu kaka?
Sijaandika username yake kupishana na jam!
Bado hujarudi we mwaliHuyu kaka nashindwa kuelewa km ni malaika au ni binadamu wa kawaida!

Haa[emoji15] [emoji15] ukuje basi hukunipo kivuruge
nitakutafuta, nimebadili user name.Najisikia faraja unapo saidia wengine0713663013
Raha iliyozidi kama hiyo huwezi kuimaliza kwa kucheka wala kutabasamu.Dawa ni moja tu.Mwambie mwende kwenye uwanja wa seremala ,mwambie jinsi alivyoleta raha nafsini mwako.Mwambie unampa na hutorudia tena pasipo hiyari yake.Unapompa toa msiba na machozi ya sayari nyingine,unapolia wimbo wako na korasi zote ziwe ni festo.Nakwambia mkiachana hapo utatamani mjenge vibanda kama akina Petro.Huyu kaka nashindwa kuelewa km ni malaika au ni binadamu wa kawaida!
sikumbuki ilikuaje kukutana pm!
kama kawaida ya wanawake kujiachia shida zao nikamwambia ninasumbuliwa sana na pumu.
Nilikua nimekata tamaa sana ya kupona! nilikuwa naumwa kila kitu!
mbavu (kwaajili ya kukohoa) ilikua nakohoa nonstop !kikohoz kikavu kama nimepaliwa vile au nimesikia harufu ya pilipili
- Macho yangu yalika red km ya 'chege',hayana raha kuyatizama,
- Uso ulikosa nuru kwasabab maranyingi sikua nalala
- Nilikosa furaha ,nilikua na sononi si ya nchi hii,nilikua nakesha kwa kuwashwa macho,kukohoa
- Nilikuwa nakohoa hadi natapika imagine kila siku nakesha macho!no one cares.Saa 10 usingizi unakuja...(hadi nikaacha kazi tumbaku).
Nimetumia dawa zoooote za macho na kifua ,ilifika kipindi nagomea dawa nawaomba wanipe mpya,nilivaa lensi had nikachoka nikaacha. Hapo sikuwa najua naumwa nini mwaka 2017 ndo nikakutana na Dk Mwankenja akaniambia nina bronchial asthma. Imagine toka 2000yr bado binti kbs, akanianzishia sindano zilikua zinanisaidia kwa kipindi kifupi sana.
Nilikatazwa kunywa soda,bia,wine,nyama,maziwa,sukari ngano(imagine vyot hivi nisile)
Sasa huyu kaka akanieleza atanisaidia kunitaftia dawa nipone ,ukwel nlimkubalia tu nikijua hapa hakuna kitu alisafiri nje akaniambia mbiti nipo kukutaftia dawa nilikua najibu sawa kaka.
Dec akanitumia dawa ukweli sikua na moyo wa kuinywa coz nilikua nimejikatia tamaa,nilikua nalaumu kwanin mimi sifi. Wanangu walikua wakinionea huruma mno,Baba yangu baada ya kuambiwa nina pumu alikuja akaniambia nayeye aliugua miaka ya 1958 akakaa kwa mganga wa kienyeji kwamiaka 2 haaahhhh nayy alikua anakohoa sana mpaka leo anakohoa daily ila si kwa kiwango changu (ila yy hakuwahi ambiwa ana pumu)
leo nipo hapa kumshukuru huyu kaka(FESTO),nawaza daily huyu mtu nimpe asante ya aina gan najikuta nakosa kwasababu mm ni maskini!amekua akinitumia hizo dawa(kwa gharama zake) na kunikumbusha daily kunywa dawa(hebu fikiria jamani!tena nabembelezwa nisiache kunywa)
Niliwaza ninunue nguo bado nikahis haitoshi,nimpe mbuzi ale bado nahisi hatoshei,
Hivi nimshukuruje huyu mimi!
kwasabab sasa hv nakula kila kitu bila mwili kureact allergy jana tu nimegonga 'desperado' aku nimelala fresh (nimebakiza testing mmoja kipindi cha masika baas!)
Au nikiongeza mtoto akiwa 'he' nimpe jina la Festo!!
Festo popote ulipo NAKUSHUKURU HADI NAINGIA KABURINI!umenipa tabasamu upyaa naringa mimi...au tuunge undugu jamani!najua ngumu pia !
nimpe zawadi gani jamani huyu kaka?
Sijaandika username yake kupishana na jam!
Duuh unakuwaga na swaga wewe hadi hunogi.Hebu weka I'd bna papuchi yangu nayo inapumua
Raha iliyozidi kama hiyo huwezi kuimaliza kwa kucheka wala kutabasamu.Dawa ni moja tu.Mwambie mwende kwenye uwanja wa seremala ,mwambie jinsi alivyoleta raha nafsini mwako.Mwambie unampa na hutorudia tena pasipo hiyari yake.Unapompa toa msiba na machozi ya sayari nyingine,unapolia wimbo wako na korasi zote ziwe ni festo.Nakwambia mkiachana hapo utatamani mjenge vibanda kama akina Petro.
Raha iliyozidi humalizwa kwa machozi tu.
Hahahaaanitakutafuta, nimebadili user name.Najisikia faraja unapo saidia wengine
Ugonjwa wa pumu unasumbua sana na inasemekana kuwa ni ugonjwa wa kurithi,teenagers wengi wa miaka hii wana huu ugonjwa. Itakuwa vyema kama mwenyewe ataridhia uweke contacts zake ili watu wenye tatizo kama lako wamtafutehahahhaha yangu!mie sijawah andika vitu vya kudanganya!sina hata sred moja ya alfu ulelaullela!
ni mm ,,,
Ugonjwa wa pumu unasumbua sana na inasemekana kuwa ni ugonjwa wa kurithi,teenagers wengi wa miaka hii wana huu ugonjwa. Itakuwa vyema kama mwenyewe ataridhia uweke contacts zake ili watu wenye tatizo kama lako wamtafute
Nmekupata dada Mbitiyazasijajua kwann wengi hamjanielewa !huyu Festo sio mwenye dawa..yy alinitaftia dawa huko alipo... wenye dawa ni waarabu namba zao niliweka zipo hapo juu..
mIE nilikua nashukuru tu kwake...!mtu ambaye hajawah ugua pumu ataona km maajab!mm pum ILINITESA !yaan mateso hasa !sasa hv nakaa ht kwenye fan had nalala!nashangaa watu wanahs promo!hapa nimemuaigizia had baba ainywe!
Asante,Nakupenda piaasante kaka !nahs una busara !nami nakupenda!