fadlu

Fadluraghman "Fadlu" Davids (born 21 May 1981 in Cape Town, Western Cape) is a retired South African footballer. who played as striker and is a Head Coach for Tanzanian Premier league club Simba. He was twice the highest goal scorer in the South African National First Division.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Asante Fadlu, mdogo zako zimetimia

    Hatimae Simba tumemaliza ukame wa Makombe! Haikuwa kazi rahisi, lakini kazi hii ilirahisishwa na kocha Fadlu. Yeye aliona Hana uwezo wa kuleta Makombe na Simba tulimwamini kuwa uwezo anao, akaona isije kuwa shida mbeleni. Akaamua kulala mbele! Angekuwepo Hadi Leo tungekuwa bado tunajenga timu...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Fadlu hatomaliza miezi 6 pale Raja Casablanca

    Nadhani amekimbia changamoto za ligi Fadlu. Ila alikoenda amechemka angeenda team ndogo siyo kubwa. Bado uwezo wake si mkubwa kiasi hicho namwonea huruma atafukuzwa huko Raja.
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Kilichosababisha kocha Fadlu kuondoka Simba

    Kuna kiongozi mmoja wa Simba alimtisha kocha Fadlu Davids kuwa watamfukuza kazi kama Simba itakosa ushindi kwenye Mchezo wowote ule Ujao na kama timu haitocheza vizuri ndani ya mechi mbili zijazo. Hili lilimfanya kocha huyo kuhisi kuwa kazi yake HAIKO SALAMA na kuhisi kuwa anafanya kazi na...
Back
Top Bottom