Saidia kufikisha ushauri kwa JK juu ya kuhuishwa kwa TAZARA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saidia kufikisha ushauri kwa JK juu ya kuhuishwa kwa TAZARA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Synthesizer, Mar 25, 2012.

 1. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,128
  Trophy Points: 280
  Wana JF nisaidieni kufikisha huu ushauri kwa JK.

  Nakumbuka ulipochaguliwa kuwa raisi ilianzishwa blog ya watu kukutumia ushauri. Nilijitokeza nikakushauri mambo mawili makubwa - mojawapo likiwa kwamba kwa hali na mali, udi na uvumba, pigania sana kuongeza electricity generation ya Tanzania, kwamba itasaidia sana kutatua matatizo mengi ya umeme si tu wa majumbani, bali hata kuchangia maendeleo ya uchumi na kuongeza ajira kwa kiwango kikubwa!

  Safari hii nina ushauri juu ya suala la kuhuisha TAZARA.

  Mwal Nyerere hakuwa na wazo kwamba Wachina wangeweza kutusaidia kujenga reli baada ya nchi za magharibi kutukejeli wazo letu la kujenga reli ya TAZARA. Wachina wakatushangaza - waka-offer kutusaidia bila hata ya kuwaomba rasmi! Nina amini hatupaswi kuwa modest katika kutengeneza proposal ya jinsi ya kuhuisha reli ya TAZARA ili kweli kweli iwe na investment yenye returns. La sivyo tunaweza kujikuta gharama kubwa inatumika kuihuisha na bado isiwe na utility kubwa - ikawa kile kinachoitwa white elephant.

  Malengo ya kuundwa kwa TAZARA miaka ya 70 yalikuwa muafaka sana, wakati huo tukiwa katika kipindi cha kupigania uhuru kusini mwa Afrika. Kwa sasa hali imebadilika, hata Zambia wanaendelea kutumia TAZARA kwa shingo upande, kwa kuwa kwa mtazamo wa kiuchumi wana options ambazo zinaweza zikawa bora zaidi kwao.

  Hivyo basi kuhuishwa kwa TAZARA na kufanywe kwa kuzingatia malengo ya kimaendeleo na kiuchimi badala ya kisiasa kama ilivyokuwa miaka ya 70. Ikiwezekana Malawi iingizwe katika ubia wa reli hii, na kufanya reli ifike hadi Malawi; Lilongwe na hata Blantaire. Hii itaongeza utility ya reli hii kwa abilia na mizigo. Na pia itaenda vizuri sana na kuwapo kwa uwanja wa ndege wa kimataifa pale Mbeya.

  Na pia huenda likawa japo zuri kurefusha reli hii zaidi ya Kapiri Mposhi na kuifikisha hadi Lusaka. Hii itachangia sana pia kuongeza utility ya reli upande wa abiria na mizigo.

  Jambo jingine ni kuifanya reli hii ya kisasa zaidi, ikiwezekana kwa kufanya treni zake zitumie umeme. Feed ya umeme huo inaweza kupatikana kwa kutumia mradi wa Kiwira na vyanzo vingine kule Zambia. Na pia kuifanya itumie umeme itawezekana kuitumia kwa treni ziendazo kasi zaidi, huenda hata kwa kiwango cha speed ya 200-300km/hr, ambapo itavutia sana abiria kutumia reli hii kwenda Makambako, Mbeya, Lusaka, Malawi nk. Na ikiwezekana reli hii ipitishwe karibu zaidi na miji ya Morogoro nA Iringa. Haya yote yatapunguza sana msongamano wa magari kwenye barabara kuu ya TANZAM, na pia kupunguza kupotea kwa maisha ya watu tunakosikia kila wakati. Safari ya Dar hadi Mbeya itatumia masaa kama manne hivi.

  Ili kuifanya reli hii itumie umeme na treni za kasi itaibidi njia ya pili ijengwe, ili kuwe na njia ya kwenda na kurudi na kuzuia treni kugongana. Na pia kona kali zitabidi kurekebishwa na kui-fence in reli na kutengeneza fly overs ili kusiwe kabisa na kukatisha reli kwa kwa waenda kwa miguu au magari.

  Utakuwa mradi mkubwa, lakini kama kweli China wanataka kuifanya hii reli iwe ya kisasa na ijiendeshe kwa faida kubwa, hayo ndio ya kufanya.

  Ningependekeza haya yawe ndio mapendekezo kwa serikali ya China. Nina amini kwamba tukifanya hivi reli hii itakuwa one of the best investments ever made by the Chinese government in Africa.


  Update:


  Chinese govt to build high speed railway for Tanzania
  31 JUly 2015

  High speed train, also known as bullet train in China or Shinkansen in Japan. The Chinese government plans to construct in the future high speed railway in Tanzania and other priority business partners.

  The Chinese government plans to construct in the future high speed railway in Tanzania and other priority business partner countries as a way of bolstering economic relations with them.

  The plan was revealed in Beijing recently by the Director-General of China Centre for Urban Development, Li Tie while briefing Tanzanian women journalists on the benefits of the long-standing economic ties between the two countries, future general outlook and new strategies to enhance these relations.
   
 2. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Umesema yote naunga mkono hoja
   
 3. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2015
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,128
  Trophy Points: 280
  Wana JF, labda kweli kuna mtu alipeleka ujumbe wangu kwa JK. Habari iliyopo ni kwamba Wachina wana mpango wa kuanza kujenga reli za treni ziendazo kasi nchini Tanzania.

  Chinese govt to build high speed railway for Tanzania


  31 July 2015

  High speed train, also known as bullet train in China or Shinkansen in Japan. The Chinese government plans to construct in the future high speed railway in Tanzania and other priority business partners.  The Chinese government plans to construct in the future high speed railway in Tanzania and other priority business partner countries as a way of bolstering economic relations with them.

  The plan was revealed in Beijing recently by the Director-General of China Centre for Urban Development, Li Tie while briefing Tanzanian women journalists on the benefits of the long-standing economic ties between the two countries, future general outlook and new strategies to enhance these relations.

  Lie noted that the project would be part of China's Belt and Road Initiative that is championed by China's President Xi Jinping in October this year.

  President Xi raised the initiative of jointly building the Silk Road Economic Belt and the 21st century Maritime Silk Road aimed at promoting the connectivity of Asian, European and African continents and their adjacent seas establish and strengthen partnerships among the countries along the Belt and Road.

  Director Lie said: "China's economy is closely connected with the world economy. China will stay committed to the basic policy of opening-up, building a new pattern of all round opening-up and integrate itself deeper into the world economic system.

  He added: "The Belt and Road cooperation features mutual respect and trust, mutual benefits and win-win cooperation, and mutual learning between civilisations. As long as countries along the belt make concerted efforts to pursue our cannon goal, there will be bright prospects for the countries along the Belt and Road.

  Meanwhile, the director urged Tanzania to fully exploit the potentials of the Bagamoyo port that is currently under construction by a Chinese firm.

  He said the project would highly boost the East African country's economy as traders from across the region would easily import and export goods to and from the port.

  Meanwhile, the Chinese minister for foreign affairs has underscored that the establishment of Chinese companies in Tanzania has generated many jobs since 2005. According to Li, there were over 500 Chinese companies operating in Tanzania in 2014 with USD800 investment.

  He said the companies have provided direct employment to 150,000 Tanzanians.
  China and Tanzania's economic relations date back to the 70s where China built the Tanzania Zambia Railway (Tazara) which is still functioning todate. Since then China has made significant number of investments including the recent oil and gas transporting project in the East African nation and have maintained strong business ties for nanny years.

  China invested over USD120bn in Africa in 2014 and at present it has injected USD15bn in Tanzania.

  China's mainly imports are energy and minerals from Tanzania while it exports clothes, machinery, technology, hardware, among other things.


  SOURCE: THE GUARDIAN
   
Loading...