Lack of exposure tu inakusumbua. Honeymoon haimaanishi ligi ya kugegedana! Ni mapumziko kwa sababu ya mikiki ya harusi. Na kama wewe unagegeda miaka 10 ndo uoe, uache tabia mbaya ya kumkopa mtoto wa mwanaume mwenzio!
....umemsoma lakini hujamuelewa.
Hebu msome kinyume nyume....
Starting with; "mimi ni mchanganyiko mchaga na mpare.,..."
Lack of exposure tu inakusumbua. Honeymoon haimaanishi ligi ya kugegedana! Ni mapumziko kwa sababu ya mikiki ya harusi. Na kama wewe unagegeda miaka 10 ndo uoe, uache tabia mbaya ya kumkopa mtoto wa mwanaume mwenzio!
Avemaria hahaha. Mkuu mi simo kabisaa, labda mwakani. Kwa sasa hivi bado kuota maana hata kausingizi ka ndoa sijakapata.
tumia hela zikuzoee......hiyo harusi mnayofunga si mmetumia gharama hizo hizo.....