Asalimwezi/honeymoon!!??

Asalimwezi/honeymoon!!??

ofcoz...well we shall invite u for dinner ili upate kumuona ila tatizo nyie wanawake mna wivu usije taka kum-dethrone mwenzio bure lol
mzabzab loh loh . . . hahah!
Mekusamehe bure.

But ....I love it, atleast unaonekana kuwa protective.
 
Last edited by a moderator:
Hata harusi sio lazima kufanya. Tunapeana tu tabu. Hapa nina kadi za michango ya sendoff na harusi jumla M8, na zote hizo ni za mwaka huu kuanzia mwezi wa 9, mshahara laki 5...mmmh kwa kweli hapana.
Kumbuka kutoa mchango ni hiari si lazima. Angalia ni nini cha muhimu kwako then fanya cha kwanza.
 
mzabzab loh loh . . . hahah!
Mekusamehe bure.

But ....I love it, atleast unaonekana kuwa protective.

hahaha hamchelewi nyie...mtaanza whats so special abt that gal mpaka kamtuliza mzabzab ebu ngoja na sie tumuonyeshe kuwa ni wanawake kamili loh
 
wengine hiyo asali mwezi kila mwisho wa mwezi inatuhusu.
 
hahahah so u a gud gud clean gal lol dont tempt me jamani loh!

Khaaaa!!!!
I thought ushanasa to the extent huwezi vutika somewhere . . . isn't it?

BTW: The clean ones are not yet born . . LOL!
We jitempt to na maandishi.
 
lakini inafaa kufikiri kabla ya kutenda,hasa mnakwenda honey moon kufanya nini,na je lazima kwenda kwenye mahoteli makubwa ya gharama ili kupunzika,lakini nafikiri ni muda mzuri wa kujipanga na kujiandaa hata kiakili kwa ajili ya maisha mapya mliyo anza kama mume na mke
 
Point mkuu.
 
Back
Top Bottom