Asalimwezi/honeymoon!!??

Asalimwezi/honeymoon!!??

Mmegegedana kwa mwaka na zaidi, kisha baada ya harusi bado mnaenda honeymoon!!!! Mimi kwangu naona ni uharibifu wa hela..
*mimi ni mchanganyiko wa kichaga* na kipare#

Mwezi wa asali ni muhimu sanaa...si kugegedana tuu bali kupumzika baada ya mikikimikiki ya harusi...jaman harusi inachosha sanaa...kukusanya michango ni nouma mtu anakuahidi laki au zaidi lakini anakupa ishirini nyingine anakwambia nitamalizia ndo ujue imetoka hiyoo..hehehehe....
 
Hata harusi sio lazima kufanya. Tunapeana tu tabu. Hapa nina kadi za michango ya sendoff na harusi jumla M8, na zote hizo ni za mwaka huu kuanzia mwezi wa 9, mshahara laki 5...mmmh kwa kweli hapana.

we changia tu na wakati wako ukifika uchangiwe.........ila umenichekesha aisee
 
ReNew your life.....! Fagilia mapenzi yako "honeymoon" ni moja ya kujenga misingi ya maelewano kuPartners !! mie kama sina Money nitakopa ilimradi ni onjeeee asaliMwezi !! my lifu...
 
Mwezi wa asali ni muhimu sanaa...si kugegedana tuu bali kupumzika baada ya mikikimikiki ya harusi...jaman harusi inachosha sanaa...kukusanya michango ni nouma mtu anakuahidi laki au zaidi lakini anakupa ishirini nyingine anakwambia nitamalizia ndo ujue imetoka hiyoo..hehehehe....


fungate ina raha yake babu
hata nikiolewa na umri wa bibi
fungate lazima niende khaaaa.wao waende
wana nini sie tusiende tuna nini!!

Hahhaaa..si mkapumzike gheto. Andikeni kibao getini au mlangoni "JUST MARRIED, DONT DISTURB", AU " NEWLY MARRIED, HONEYMOON IN PROGRESS"
 
we changia tu na wakati wako ukifika uchangiwe.........ila umenichekesha aisee

Hapo bado michango ya kujenga kanisa. Na kadi zenyewe zina viwango..Single 50,000, double 80,000 au 100,000..chini ya hapo hata kadi ya mwaliko hupewi. Ila kwa kuwa huwa zinaandikwa 'mchango wako wa hali na mali", mimi kwa kweli nitachangia hali.
 
Imepangwa tu roughly mwezi wa 9. Tarehe inabidi tucheki zile ambazo hazina bendera nyekundu.

Here you come . . lol

Ndo maana mwanzoni kabisa nikakwambia we mawazo/ndoto zako sasa hivi ni ndoa tu.
Hongera mwaya, kuna wenzio kama kina mzabzab wanazigwaya ndoa.
 
Here you come . . lol

Ndo maana mwanzoni kabisa nikakwambia we mawazo/ndoto zako sasa hivi ni ndoa tu.
Hongera mwaya, kuna wenzio kama kina mzabzab wanazigwaya ndoa.

Tehe tehe...aisee nawaza tu kiasi cha kusogeza mpango mmoja mbele. Ila kukaa na kuota kabisa, na kudownload picha za pre ndoa..kwa kweli mbado!
 
Maisha ni kuchagua kile unachohisi una kimudu kuifurahisha nafsi yako na si kufanya kwa vile kila mtu anafanya hata km huna uwezo nacho.
 
My dia M.E.M.A huo ndio ukweli fanya jambo kwa nafasi yako na uwezo wako na sio fashen lol!

Napenda sana watu wanaofikiria tofauti. Na pengine watu wanachelewa kuoa au kuogopa kwa kukwepa gharama. Mi nitapenda mchumba wangu nikimuambia sina hela ya shela..yeye aniambie...powa tushone kitenge na kilemba kama mama JK.
 
Last edited by a moderator:
Napenda sana watu wanaofikiria tofauti. Na pengine watu wanachelewa kuoa au kuogopa kwa kukwepa gharama. Mi nitapenda mchumba wangu nikimuambia sina hela ya shela..yeye aniambie...powa tushone kitenge na kilemba kama mama JK.

Cha msingi ni upendo na maelewano haya mambo mengine ni ziada tu ila km uwezo unaruhusu poa ila isiwe ndio kuumizana kichwa kudai watu michango km uliwakopesha lol!
 
Back
Top Bottom