Asali mbichi kutoka Tabora

Asali mbichi kutoka Tabora

emoshi

Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
28
Reaction score
1
Ndugu zangu wadau wa JF natafuta mtu ambae anahitaji asali mbichi kutoka Tabora. Mimi ninauwezo wa kumletea kuanzia dumu za lita 20 kuanzia tano na kuendelea na ningefurahi sana kama uyo mtu mwenye uhitaji angekuwa anapatikana hasa hasa mikoa ya Kilimanjaro au Arusha. Kama una uhitaji ni pm tuongee bei na mambo mengine au kama kuna mtu uku anajua mahali mtu ananunua kwa jumla please naomba anisaidie kunijuza . Natanguliza shukrani zangu za dhati wadau.
 
Mimi ninahitaji nipo DSM kwa sasa, naomba bei ya dumu la Lita 5
 
Mimi nipo tbr ningependa unisaidie jinsi yakufanya hii biashara
 
Back
Top Bottom