PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,178
Dogo hili chimbo la wagumu kama unapenda sana kupost picha zako nenda badoo pata kufaa.
Mbona sharobaro we mtoto nenda shule
Waalaykum salam, wa rahma tuullah Wabaarakatul...!

Dogo kwema?
Nyumbani hawajambo?
Mzima wewe?
Dishi halijayumba? Liko salama?
Sisi wazima bwana ila humu siyo facebook.

HahahahaDuuh jf imevamiwa![]()



jicho nyanyaChips yai
Mkuu mikoani hatupo hivo huyo mvulana wa Dar... Muangalie vzr...ila wa mikoani burudani sana!
..inabidi muwekwe makumbusho ya taifa!
kakosea, alikuwa anaweka kwenye face buku ndo ikaja huku bahati mbaya.Duuh jf imevamiwa![]()