Asalaamu aleykum

Asalaamu aleykum

Hahahahaaa shule zimefungwa naona watoto wamekuja kulrleta fujo
 
Ama kweli nimeamini shule zimefungwa nadhani kesho atapost report yake
db6b2af446e0ed8f0f8a577938a089f2.jpg

 
Kumbe kaingia JF 11/5/2017, inshallah Mungu akijalia kesho kutwa Jumapili 11/6/2017 atamaliza mwezi hapa JF
 
Ila tusemazane ukweli.
sidhani kama mwenye thread hii ni mshamba Ila kawa na ujasiri wa kujianika na ku show identity yake.

wengine wanasema Mods watoe hii kitu, kwa kosa lipi?

yeah humu sio Fb lakini hakuna sheria iliyosema kuwa humu hakutakiwi post za hivi, ila ni mawazo yetu ,utashi na mazoea.

mtoa mada ukipata muda post na picha ya sist wako then Nitag, picha ya kazi yako na ofice yako.....


karibu
 
Back
Top Bottom