Nimejiunga rasmi hapa kijiweni(jf)leo hii,inasemekana hapa is a place where any one can dare to speak open;OK ,naomba kuwa uliza enyi wakongwe wa kijiwe-kwanini hapa kijiweni 99.9% yenu mmejicamouflage kwa majina feki(ya bandia)inamaana hapa wote wasanii. pili sijaona option ya kutoka(unsubscribe),inamaana ukiingia huwezi kutoka? nimeuliza kwa nia nzuri ili nianze kuchangia mada.