Asalaam aley kum | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asalaam aley kum

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Masumbo, Apr 24, 2009.

 1. M

  Masumbo New Member

  #1
  Apr 24, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimejiunga rasmi hapa kijiweni(jf)leo hii,inasemekana hapa is a place where any one can dare to speak open;OK ,naomba kuwa uliza enyi wakongwe wa kijiwe-kwanini hapa kijiweni 99.9% yenu mmejicamouflage kwa majina feki(ya bandia)inamaana hapa wote wasanii. pili sijaona option ya kutoka(unsubscribe),inamaana ukiingia huwezi kutoka? nimeuliza kwa nia nzuri ili nianze kuchangia mada.
   
 2. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Kwanza karibu. Hapa si kijiweni ndo maana umekaa jamvini. Kwa kuanzia, wewe nawe hilo ni jina lako halisi ama ni la kisanii pia?
   
 3. M

  Masumbo New Member

  #3
  Apr 24, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni muungwana,mkweli na muwazi na hili ndo jina langu.ukiona mtu anaficha jina kuna ajenda ya siri
   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Huyo Msanii mwenyewe akisoma hii thread atakujibu, yupo mmoja tu!..

  Ukiingia unaweza kutoka Robot atakuelezea vizuri. Halafu ndo kwanza umeingia unawaza kuondoka! Kwanini,why!

  Karibu sana ndugu Masumbo anza kuchangia mada straight away!..
   
 5. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Kwanza ulijuaje kwamba majina yatumikayo humu si halisi, au unataka kuleta usanii kwemye nyumba ya msanii!
   
 6. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Masumbo karibu sana hapa, tunahitaji michango yako sana, ila usitafute miguu ya nyoka tena!

  Stone Town,

  Mwana umepona? tulipata habari zako mkuu, Karibu tena tulikumiss sana mdau......!

  Nimeona hapa........!

  Currently Active Users Viewing This Thread: 4 (4 members and 0 guests)
  Next Level, Haika, KYACHAKICHE, StoneTown
   
 7. M

  Masumbo New Member

  #7
  Apr 24, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poa,nina mada nyingi za kuchangia.ukiujua mlango wa kuingia ni busara ukaujua na wa kutokea usije tokea dirishani.
   
 8. S

  Stone Town Senior Member

  #8
  Apr 24, 2009
  Joined: May 28, 2007
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hujambo?

  mkenda nchi ya watu wenye chongo nawe pofua lako na kama hutaki kupofua basi tafuta nchi yenye watu wenye macho ili wakuone na wewe uwatazame any way karibu sana
  stone towner
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Pole na kuugua maalimu!
   
Loading...