Asalaam Aleikum

Asalaam Aleikum

Testimony

Senior Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
112
Reaction score
20
Salamu nyote waungwana! nabisha hodi jamvini nami niwe mmoja wenu. sina shaka ntapokelewa kwa mikono miwili. Asanteni!
 
asanteni sana waungwana...nshakaribia insh'allah tukijaliwa tutashirikiana kikamilifu
 
waaleykum salaam! Karibu sana ! Hapa utayajua mengi ya dunia. Ila nakushauri kwanza ukafanyiwe oparesheni ya hasira. Yaa ni waondoe hasira gland.
 
Wa3laykum alsalam wa rahmatallah wabarakatu karibu
 
Karibu xana na amani iwe pia nawe! Tel us y u decide to join jf and not other social networks lyk fb? Nyc weekend!
 
Waaleykum salaam sheikh.
Karibu sana.
Vipi futari tayari umekula?
 
Salam zako zimenivutia saana....

Waleikum Salam.... Karibu saana Testimony....
 
Back
Top Bottom