AS Vita waingia mjini kikomando

Moja kati ya timu tishio na yakuogopwa barani africa AS VITA imeingia mjini kikomandoo na kuapa kutekeleza mission yao ya siri kikomandoo bila kuithiri diplomasia za nchi zetu mbili kati ya CONGO na TANZANIA..
Mapema leo as vita ilionekana kwenye hoteli moja mjini lakini baada ya wale wazee wa SPRAY na NDUMBA kupewa taarifa walipo wasakata kabumbu hao walienda na vitendea kazi vyao bila kuwakuta wahusika..

Inasemekana as vita wamechukua hotel 5 tofauti na hawakai eneo moja kwa zaidi ya masaa mawili kwa ajili ya usalama wao..ni mambo ya ajabu kabisa hata kuyaelezea lakini ndio hvyo mikia wamewekeza kwenye ndumba na fitna zaidi kuliko kusakata kabumbu uwanjani.

Mikia mnalitia aibu taifa bila kujijua, lakin pamoja na kashfa hizo za ndumba na kupuliza rungu spray kipigo chenu kipo pale pale.

Tukutane jmos taifa mida ya saa moja nitakua na jezi yangu pendwa ya kijani na njano....MUNGU IBARIKI AS YANGA VITA

Mungu ibariki team yetu pendwa ya kocha wetu mwinyi zahera

DAIMA MBELE NYUMA MWIKO

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaah wanahama hama hivyo ndio basi tena wameshafungwaaa

Kuwa mchawi sio lazima utembee na matunguli, kuwa na fikra kama zako tu, zinatosha kukuelezea haiba yako!
Inamaana hujui Simba ikifanya vizuri mwakani nchi yetu itaongeza wawakilishi automatic?
Nimeamini kuwa KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA HAKUJAWA SULUHISHO LA UJINGA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jinsi Vita walivyo na huo wasiwasi basi ameshafungwa kirahisi kabisa ,maana kila jambo litawapa shaka
 
Kuwa mchawi sio lazima utembee na matunguli, kuwa na fikra kama zako tu, zinatosha kukuelezea haiba yako!
Inamaana hujui Simba ikifanya vizuri mwakani nchi yetu itaongeza wawakilishi automatic?
Nimeamini kuwa KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA HAKUJAWA SULUHISHO LA UJINGA!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliekuambia tunashida yakwenda huko kwa kupitia migongo ya mikia nanii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom