tungo tata...............Arushaone mtaalamu mwenzio amewasili leo DAR ES SALAAM...vp umeenda kumpokea?
Au ndo amekuja hudhuria harusi yako ya 123678 naaa
cc Kaizer Filipo paka Jimmy Lily Flower Preta Blaki Womani Arabela Mzee wa Rula Mwalimu
Binti watu8 i mean charminglady njoo uone kiutamaduni.
Hahaha...lugha gongana...charminglady binti watu8 ​ndivyo ulipaswa kuandika
Ebu nchekie mambo yangu apo juu kwa mswati kiongozi
Nilivyokuja si ulijificha? Ukapigiwa simu hukupokea? Tukaja kwako tukagonga mlango hukufungua?
Watakani tena jamani.....Na nilikuwa nimeku MRS ujue
Arushaone yuko wapi?
Afadhali nimepita mtaa huu wa pili, mie nlishakaa mguu sawa kuwa Arushaone yuaja nlipia mahari kama alivyosema pale Timeline Bar mbele ya Mzee wa Rula, PakaJimmy, Filipo, marejesho, Erickb52 na mbele ya Babangu Mtambuzi. Kumbe zote zilikuwa fix tu!! Kaizer hebu njoo tuendelee maongezi yetu
Mzee mbona vitu viko wazi?
We Mr Rocky wewe shauri lako,mi nakuangalia tu......
Cc: dena amsi........shemeji!!!!