Filipo na PakaJimmy wanajua?Achana na MwanajamiiOne mipango yetu ni ya muda mrefu sana hata KOKUTONA, Mzee wa Rula na ba'mkwe Mtambuzi anajua!
Wewe ndiwe KING MSWATI IV kuanzia tarehe ya leo! KOKUTONA toa taarifa kwa watu wote kuwa nimeshamwachia kijiti Kaizer. Anzia kwa Lady doctor.
Ni naani unamsema? Lady doctor na mimi? Laleni achaneni nasi!!
Na Arabela my mdogo?Hata miaka mia nane! Lady doctor na Arushaone mpaka makaburini!! Ah ! Mtachonga sana !
Tutakuharibiaaa....au unabisha? Tulianzishe?
Usije ukanikosa 10% promo yangu haikuwa ndogo
Usije ukanikosa 10% promo yangu haikuwa ndogo