Arushaone mtaalamu mwenzio amewasili leo DAR ES SALAAM...vp umeenda kumpokea?
Au ndo amekuja hudhuria harusi yako ya 123678 naaa
cc Kaizer Filipo paka Jimmy Lily Flower Preta Blaki Womani Arabela Mzee wa Rula Mwalimu
mi donti andastendi hia
King Mswati in da hauzi...sasa sijui kaja na ile trupu yake ya warembo.
Soma hapo chini halafu unganisha dots...
King Mswati in da hauz

Duh... Watu na mila zao bana, nimefuata hiyo link nikaona vazi hilo. Inamaana ndio vazi la heshima kwao???
Yaani charminglady ukiona mavazi wavaayo wadada siku anapochagua mke mwingine wa kuoa ndo utachoka....ushawah ona wadada wa kimakonde/kizaramo walivyokuwa wanavaa zamani wakichezwa ngoma?
Kuna ka ID kanatoa povu balaa!!!Umeona eeh afu Arushaone haonekani kabisa popote...sijui ndo yuko kwenye DHIFA YA KITAIFA na mwenzake...na sijui ameenda na MKE yupii? Ninong'oneze basi kwani @Blaki Wonani yupo? Hajasafiri?
Arushaone njoo bhana utupe ladha za Kwenu, vp amekuletea maujanja gani ili uwakamate vizuri?