Arushaone umetisha!


hahahaaaaa!!teh teh!!
bro Arushaone kazi ya uandishi
wa habari ulisomea wapi vile?hizo zana mi hoiiii!!

 
Last edited by a moderator:
Makamanda wa Arusha wakiongozwa na Arusha one ahsanteni sana kwa live update..
 
Last edited by a moderator:
ha ha Arushaone mi admire you sana :hug::hug:
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha haaa
Haya bwana
 
Fafanua vizuri Raiza.. Unamaanisha nini hapo..? Inaenda deep au ni ile ya kawaida..?

hata ikienda deepjamani si mbaya namtoa uchovu we si kazi ndogo kuweka live updates yaani wanasema unacrame unaandika jf bado humohumo kuna watu unabishana nao ha ha ha he deserve that looo
kwani we imekuuma
 
Arushaone umenifanya kama vile nilikuwa uwanjani.big up
 
Utapata wachumba kibao kwa kazi nzuri usisahau kuniacha kwa sadara mpwa Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…