Kanipa Arushaone halafu alikuwa na kabinti karembo akanitamburisha kuwa ndo kichuna wake
Just two of you..kweli ukishikwa shikamana.
simpaka? Halafu mwambie Bishanga pichu aliyoivaa jana sijaipenda rangi yake maana ina mauwauwa na rangi kibao asije akanijazia nyuki ndani!
***YOU and ME***
it's you and me my sweetheart, just you and me.........!
I love what we made together and i want you to know that no words can describe how deeply you touch my heart...
I tried so had to put my thought on a paper, but words escape every time i try......
I only know that i love you truly, i love you deeply more and more each day,,,,
i don't know what i would do without you!
YOU AND ME, ONLY YOU AND ME UNTIL OUR LAST DAYS
I LOVE YOU SO MUCH MY HUSBAND
******* Arushaone*******
Cc: Bishanga na wapambe wenzio naamini mbio zenu za sakafuni zimeishia ukingoni!!!!!!!!!
Ngoja aje
OK, ila FaizaFoxy katoka wapi tena humu? Unanikumbusha yale ya "kwenye starehe tingatinga limefikaje"? Sosi Ramadhani Masanja a.k.a Banza Stone.
Hawajaniona siku nyingi huku chit chat ndio maana wanantamani.
Halafu wewe shika adabu yako na adabu ikushike, tinga tinga bibiyo. Mwanamke t.ako. Unanini weye?
Hawajaniona siku nyingi huku chit chat ndio maana wanantamani.
Halafu wewe shika adabu yako na adabu ikushike, tinga tinga bibiyo. Mwanamke t.ako. Unanini weye?
Haya bwana. Uko powa?
Shemejiii !
Unajimix ujue?
Ukipewa fulu- skepu uelezee umeijuaje chupi ya hilo lijamaa ina viuaua utastetije?
Shaul'ako mi simo!
Ngoja aje