Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Wivu ni ugonjwa ujue Lady doctor.....shauri yako utakonda sasa hivi
ukitoka hapo nje njo baracuda kwa wazee wa mboyoyo,sema leo jmanee ningekuita via via dada la dadaa.ila japo njo unywe capachino via via
Bishanga wivu sina ila roho inauma
acha mbwembwe mzee wa BOTUnataka upendo gani,...hebu njoo hapa reception ya chini utanikuta nakusubiri....au kama vip nikupitie lunch time pale Immigration canteen,...i will take care of the bill.
Kama uko serious lakni.
acha mbwembwe mzee wa BOT[/QUOTE]
ahahahahahahaaaaaaaaaaaa_mimi niko hapa baracuda mkuu,...nachonga na kubrash viatu...ila sometimes napata lunch hapo BOT cANTEEN.
Ishi kwa imani Lady doctor si unajua nyuki ukimfuatilia sana asali huli?
poa msalimie amali hapo bana au hashimuacha mbwembwe mzee wa bot[/quote]
ahahahahahahaaaaaaaaaaaa_mimi niko hapa baracuda mkuu,...nachonga na kubrash viatu...ila sometimes napata lunch hapo bot canteen.
mmmh, bora hata ungesema wakike tu kama anapokea na uke wao mbona majangaa!!!!
Majanga kama kidogo.... majanga kwelikweli... ndo anakopatia ikspiriens anayoitumia kwako...
[/QUOTE]