Arusha yarindima kwa risasi! Jambazi laua polisi

Arusha yarindima kwa risasi! Jambazi laua polisi

Sasa kama police mmepigwa training fresh na mkakolifie iweje mwize awauwe na kuishia bila kumkamata? Isitoshe mlijianda na mmevaa bullet proof?

bullet proof anayo mkuu wa kituo pekee yake kwa hiyo hao wenzangu na mimi ni mungu tu anasaidia..
 
Majambazi sugu yote yanalelewa na polisi toka jambazi changa mpaka kuwa sugu yakiiba na kuua raia wa kawaida polisi wanapewa rushwa na kupotezea na kesi inayeyuka yakibia vigogo au jamaa za vigogo ndio wanajitokeza kuyatafuta ndio maana nayo yanawamaliza na wao wenyeywe
 
Teh teh teh teh teh teh walifikiri wanaenda kuzuia maandamano ya cdm.
Maana polis wetu kazi kubwa waijuayo ni kuwatandika virungu,risasi,mabom ya machozi na maji ya kuwasha wanavyuo,cdm na wananch wada haki..

Hao polis wanamafunzo wamefunzwa kbs jinsi ya kutumia gun na nch yetu hakuna chuo au sehem watoayo mafunzo ya kutumia siraha zaid majambaz wanajifunza kimagumash tuu..

Mi hata wafe daily kama kuku kwangu shangwe tuu huwa wanajiona wamefika sana hawa vimbora pind watoapo kichapo kwa waandamanaji.
 
Askari wameenda wawili tu kwenye raid ya hideout ya jambazi, linalojulikana ni sugu, liko armed, halafu jambazi limekurupushwa ghafla lakini likawa na time ya ku reach out to his arsenal, likarusha risasi, zikawapata, japo wao ndo wana advantage ya kujikinga kwenye kuta, miti, etc. jambazi liko corralled kwenye confined space, likalenga, likawaua, lika walk out, limeambatana na zigo lake Bunny and Clide style, likapita, likatokomea.

Speaks volumes about the kind of training these poor and hungry members of the police force are getting.
................ napata picha hayasemwi yote! pengine wazee walienda kurekebisha ........................ angalia cheo cha aliyejeruhiwa, je hakuwa na plan B ya kuomba back up support ?
:A S embarassed:
 
Teh teh teh, Warikua wanadhani wanaenda kurikamata riuza gongo! Wakatandikwa risasi kama mvua, sasa wanatoa rushwa ya mirioni 5 kwa wananch iri wawasaidie kurikamata ribabe rao!
 
Askari wameenda wawili tu kwenye raid ya hideout ya jambazi, linalojulikana ni sugu, liko armed, halafu jambazi limekurupushwa ghafla lakini likawa na time ya ku reach out to his arsenal, likarusha risasi, zikawapata, japo wao ndo wana advantage ya kujikinga kwenye kuta, miti, etc. jambazi liko corralled kwenye confined space, likalenga, likawaua, lika walk out, limeambatana na zigo lake Bunny and Clide style, likapita, likatokomea.

Speaks volumes about the kind of training these poor and hungry members of the police force are getting.

Umenena kwa uzuri sana, hawa polisi wabadilike sasa. No bullet proof, hawaendi na first aid kit. Niliwahi kumsukia Waziri wa ulinzi enzi hizo Edgar Maokola Majogo akisema; Risasi haina diplomasia. Wenzetu hawa watajifunza lini? Na kwa nini huyo jambazi anitwa SUGU? Usugu wake unatokana na nini? Aliwahi kufanya nini mpaka aitwe hivyo? Nini, nini, niniiiiiiiiiii?
 
R.I.P askari aliyekufa. Poleni sana Polisi, kwa kufiwa na majeruhi. Kazi mnayofanya ni ngumu. Tunawaomba msikate tamaa, kazeni buti.
Na pia jeshi la polisi liongeze mafunzo ya mbinu za kupambana na majambazi wasiishie tuu kutoa ujuzi wa kupambana na waandamanaji zoezi ambalo mara nyingi huwa linafanikiwa, moja wapo ya mafanikio ni lile lilipelekea kuzima maandamano na kulenga shabaha na kuua waandamanaji watatu hapohapo Arusha.
 
Ingekuwa ni mkusanyiko wa kisiasa mngeweza kushikilia chini...
 
Kwa tetesi nilizozipata hapo jana nikiwa napata mbili za baridi nikua jambazi hilo eti lilikua ni X mwanajeshi na alifukuzwa kazi jeshini kwakuhusika na matukio ya ujambazi ambao kwa record za kijeshi jamaa huyu alipofukuzwa kazi jeshini alikuja shikwa kwa matukio hayahaya ya ujambazi wa kutumia silaha, lilikuja hukumiwa miaka si zaidi ya 15 lakini kutokana na hii misamaha anayotoa mweshimiwa raisi kwa wafungwa ambao ni wagonjwa wa ukimwi na wale wengine ambao wameonyesha nidhamu wakiwa kifungoni jamaa huyu naye lilifanikiwa kutoka kwa njia ambazo zina utata, lakini baada ya kutoka bado likawa linaendeleza ujambazi wa kutumia silaha! Mungu tunusuru kwakua jamaa huyu ni mtaalamu sana kwa mbinu ya kujificha na hata katika kutumia viombo hivi vya moto kama silaha za kila aina.
 
Majambazi sugu yote yanalelewa na polisi toka jambazi changa mpaka kuwa sugu yakiiba na kuua raia wa kawaida polisi wanapewa rushwa na kupotezea na kesi inayeyuka yakibia vigogo au jamaa za vigogo ndio wanajitokeza kuyatafuta ndio maana nayo yanawamaliza na wao wenyeywe

Mkuu nakubaliana na wewe..kila mara raia mkoani arusha wanauwawa na majambazi lakini efforts za polisi huwa ni kutaka rushwa toka kwa ndugu wa marehemu na mwisho wa siku hakuna mtu anaekamatwa...leo kauwawa polisi mil 5 zimepatikana za kumtafuta..hapo kweli raia watakuwa na kosa kushangilia polisi wakiuwawa?? kinachofuatia hapa ni raia kuanza kuwasaidia majambazi kuua polisi badala ya kusaidia polisi kushika majambazi...
 
tumeongeza siku za kuomboleza wakati wapigania haki wakiomboleza january 5,intelejensia nao wako hapo nyuma january 3.
hapo ndipo namshangaa mungu.
hebu fikiria afisa upelelezi anaenda front kuambush jambazi sugu je vijana wako wapi?
au ni mungu alipanga kulipia wanyonge kisasi?
 
polisi wa tanzania mna mbinu za kizamani sana it is as if manaenda kukamata wauza komoni mmekomeshwa sasa...pumbafu

.....au walidhani wanaenda kuwakamata lema & co!!

nyambaf!!
 
Police wote walioshiri kuwauwa wananchi wote Ar ndo watauwawa hivi polepole mpaka waishe

sidhani kama PC Kijanda Mwandu anastahili kuwekwa kwenye hilo kundi; ''he was very smart guy'' sema tu Mungu kaamua kumpumzisha.
RIP Kijanda nitaendelea kukumbuka.
 
tumeongeza siku za kuomboleza wakati wapigania haki wakiomboleza january 5,intelejensia nao wako hapo nyuma january 3.
hapo ndipo namshangaa mungu.
hebu fikiria afisa upelelezi anaenda front kuambush jambazi sugu je vijana wako wapi?
au ni mungu alipanga kulipia wanyonge kisasi?




Mungu ni wa ajabu
 
Tatizo la police wa bongo wengi hawana viwango ktk fani yao kbs, training ya kulipua, hawana hata gym za kujiweka sawa kila siku, lishe ovyo, hawana afya, hata uzito wa bunduki unawazidi wengine, na drill za mara kwa mara za kukamata wahalifu au program za hata video tu kujifunza namna ya kumkamata au ku approach eneo la wahalifu hakuna, so wakikutana na majambazi sugu au ex- soldiers ni kama ubwabwa tu, halafu viongozi wao wanapiga porojo na siasa tu, na kuajiri watu kindugu, vipolice vingine vidogooo!
 
Back
Top Bottom