noted sir thanks
Kwema kichaa'angu, baridi kali iliyoambatana na manyunyu ndio tunakunyima. Vipi pande hizo?
Thanks KOKU.
Yes I will ! Arabela and I we love each other dearly. I know you know that very well.
Pale pa jana panaitwa TOROKA UJE PUB.
Mtoto ametulia sana huyo hadi nampenda bure kabisa, sasa inakubidi uache ile saccoss yako ya wanawake woote, ubaki na yeye na mke halali....SAWA?
CC Arabela, Blaki Womani
hahaha mwambie huyoooo