Arusha: Watoto watatu waliwa na Simba

Arusha: Watoto watatu waliwa na Simba

Inawaficha ,sasa inaonesha wale watoto hawakupaka

Nakwenye mila zao mfano ng'ombe akipotea nilazima watoto ndio waaze kutafuta na wakishindwa kuwaona hurudi nyumbani kutoa taarifa na kunadawa hufunga sehemu ili kuwakinga ng'ombe hao wasionekane na wanyama kama simba ,fisi ili wasiuawe nakutafunwa

Baada yahapo wazazi wao ndo huaza kuwatafuta na huwakuta wakiwa sehemu wametulia na kuswagwa kurudi nao

Wale watoto inaonesha hawakupaka ile dawa kwa ukamilifu

Mungu awarehemu
Duh wamasai Wana madawa aisee loh, kumbe ndo mambo huwa iko ivo. Rip watoto jamani
 
Kifo kibaya sana, maskin watoto dah, huyo aliyesalimika itabidi ataftiwe mtaalam wa saikolojia
 
Miaka sitini ya uhuru watoto wadogo bado wanakatiza mbuga kwa miguu kwenda shule
umewai fika ngorongoro mkuu kule ni maisha yao ya kawaida hii kuliwa na simba bahati mbaya tu ila kila siku wanachunga ng'ombe humo hifadhini na simba hawawafanyi kitu sana sana huwa wanaogopa nyati tu ndio wako aggressive
 
Simba anamuogopa sana mmasai kama hamjui.Kule porini mifugo na pundamilia wanachunga pamoja na ikifika jioni pundamilia wanalala karibu na boma la mmasai vile wanajua watakuwa salama kwa simba
 
Ile dawa yao ni hatari inanuka balaa ,kuna siku kuna mmasai mwanadada alipanda basi alitokea mvomero akawa anaenda msamvu ,noma abiria ilibidi wamwambie dereva amshushe alikuwa anatema harufu kali ndio wadau wakasema ni dawa yao ili wasivamiwe na wanyama wakali.
Ulipoteza nafasi, ungeshuka nae.
Alikuachia namba yake ya simu?
 
😁😁 niliwahi kusikia hii enzi hizo kua nyama ya binadamu ina chumvi chumvi wanyama wakali wanaipenda, sijui ni kweli au ndo ile kudanganyana tu
No simba nilisikia hapendi nyama za wanyama wanaokula nyama.Umeshawahi kusikia simba kala fisi??
 
Huwa kuna sababu kwa nini simba anakamata binadamu na kuwala. Hii documentary niliangalia zamani kuhusu simba mla watu wa Rufiji.


Asante kwa video hii.Kwa maana hiyo wana simba waliokula watoto lazima wauwawe kwa maana wameshaonja nyama ya binadamu
 
Anayefahamu kisa cha simba wa Tunduru atueleze
 
Back
Top Bottom