Arusha: Watoto watatu waliwa na Simba

Arusha: Watoto watatu waliwa na Simba

Anakuwa kakaa sehemu moja tuu kama hana raha alafu kwenye kumsaka akiona binadamu huwa anawahi kukimbia mbio balaa hata kama hujaanza kumfikia
... duh! Anakosa raha kutokana na mauji aliyofanya! Halafu niliwahi kusikia mara nyingi simba wala watu ni ile mizee isiyoweza mikiki ya kukimbizana na wanyama.
 
"...majira ya saa nne asubuhi katika Kijiji hicho wakati wanafunzi hao wakijerea nyumbani kutoka shuleni ..."

hiyo shule wanafunzi wanaenda shule mdaga gani na wanatoka muda gani? ama walikuwa wameelekezwa warejee nyumbani na walimu?
Kuna watu walienda na vyombo shuleni, Sasa watoto wakakimbia kurudi home wakijua ni "chanjo" maana Shujaa Mwendazake alishatangaza kua chanjo hazifai.. Sasa wakiwa njiani ndo wakakutana na hiyo dhahama!!
 
... huko chama miaka yote kinapita kwa ushindi wa kimbunga cha ajabu! Hao ndio wapiga kura wetu waaminifu (loyal). Kwani simba wameanza kula watu leo? Hebu mtupishe!
Kama level ya ignorance ipo juu kitashindwaje sasa
 
Hifadhi wanaweza kuleta wanyama wakali ili kuwazuia raia wasiingie katika hifadhi lakini haya ndio matokeo yake, Mahali fulani hifadhi walileta ndege wakubwa Eagle wakawa wanakamata mbuzi wanakula baadae ikagundulika kuwa hifadhi walifanya hivyo ili raia wasiingize mifugo katika hifadhi.
 
... duh! Anakosa raha kutokana na mauji aliyofanya! Halafu niliwahi kusikia mara nyingi simba wala watu ni ile mizee isiyoweza mikiki ya kukimbizana na wanyama.
Sio saana mara nyingi ni wale waliotengwa kwenye ukoo anafukuzwa kwenye kambi /pori.
 
Kuna watu walienda na vyombo shuleni, Sasa watoto wakakimbia kurudi home wakijua ni "chanjo" maana Shujaa Mwendazake alishatangaza kua chanjo hazifai.. Sasa wakiwa njiani ndo wakakutana na hiyo dhahama!!

Kumbeeee. Nimeishi ngorongoro mwezi, kuna mida ya wanyama na binadamu kupita katika maeneo fulani, ukichelewa ama ukikosea step ni ugomvi
 
kama hujui mambo ya vijiji vingi vya tanzania uwe unauliza baadhi ya shule madarasa ni machache na waalimu ni wachache mfano hufanya wiki hili darasa la kwanza hadi la nne waje asubuh na kurudi sa4 la tano mpaka la saba waje sa4 mpaka sa8 ili madarasa yatosheleze na walimu watosheleze unakuta shule wanafunzi 600 walimu wanne tu

Kweli sijui, waeza toa mifano ya shule - jimbo gani - wilaya etc
 
"...majira ya saa nne asubuhi katika Kijiji hicho wakati wanafunzi hao wakijerea nyumbani kutoka shuleni ..."

hiyo shule wanafunzi wanaenda shule mdaga gani na wanatoka muda gani? ama walikuwa wameelekezwa warejee nyumbani na walimu?
Hakuna mapumziko hiyo muda ya saa nne asubuhi?
 
Sasa simba wako kwenye himaya yao(hifadhini)utaenda kuwaua wote?wangekuwa wamekuja kijijini sawa.
Kuna wakati wamasai waliua Simba 7 wakilipiza kisasi, halafu nyama ya binadamu inachumvi sasa ndiyo wameonja hawataacha
 
Kuna wakati wamasai waliua Simba 7 wakilipiza kisasi, halafu nyama ya binadamu inachumvi sasa ndiyo wameonja hawataacha
Kilichilopo ni kuchukua tahadhari tu, kwani hilo tukio ni kama la bahati mbaya tu, kwa mmasai kuliwa na simba, kwani toka enzi na enzi wanaisha pamoja!!na kama wamasai wakisema waanze kuwaua simba, na kwa hali ya sasa ya hiyo hifadhi ya bonde la Ngororo, serikali itakuwa imepata sababu ya kuwaondoa!!kwani ni muda mrefu wanaliwa timing tu!!
 
Ni kweli wasiishi kwa mazoea, bali kwa tahadhali.
 
Hapo wangeuliwa simba serikali ndio ingeona ni tatizo maana nchi yetu wanyama wana thamani kuliko binadamu
 
Kumbe ni dawa huwa wanapaka kabisa kwanini hawakuwapaka hao watoto sasa.
Inawaficha ,sasa inaonesha wale watoto hawakupaka

Nakwenye mila zao mfano ng'ombe akipotea nilazima watoto ndio waaze kutafuta na wakishindwa kuwaona hurudi nyumbani kutoa taarifa na kunadawa hufunga sehemu ili kuwakinga ng'ombe hao wasionekane na wanyama kama simba ,fisi ili wasiuawe nakutafunwa

Baada yahapo wazazi wao ndo huaza kuwatafuta na huwakuta wakiwa sehemu wametulia na kuswagwa kurudi nao

Wale watoto inaonesha hawakupaka ile dawa kwa ukamilifu

Mungu awarehemu
 
Back
Top Bottom