Sijui, ila wenyewe wanajua na watamtafuta, watu wanatafuta hadi mamba aliekula mtu na wanamkamata wanamuua.
... huko chama miaka yote kinapita kwa ushindi wa kimbunga cha ajabu! Hao ndio wapiga kura wetu waaminifu (loyal). Kwani simba wameanza kula watu leo? Hebu mtupishe!
Wamasai huwa hawauliwi na simba kuna dawa hupaka hawa watoto imekuwaje aisee, inasikitisha sana
Pole kwa wafiwa.Wamasai hameni mbugani.
Kwamba ndio nyama tamu kuliko zote kwa simba au imekaaje hiyo mkuu??Kwa majina na eneo itakuwa jamii ya Wamasai ambao wanaishi jirani sana na simba. Hio ni ajali tu, ila huyo simba atatafutwa hadi auawe kwasababu kashaonja nyama ya mtu hataacha.
Hatakuwa mbali na eneo hilo. Probably huyo (hao) simba ni mbarara (nomads) ambae anakuwa amefukuzwa kwenye pride so anazurura hovyo hivyo ni rahisi ku identify simba kama huyo.... watamjuaje kwamba huyu ndiye aliyewala?
😀😀😀😀 binadamu kunoga kwa chimba....binadamu ana chumvi chumvi.Kwamba ndio nyama tamu kuliko zote kwa simba au imekaaje hiyo mkuu??
Inawezekana ni nomads waliofukuzwa kwenye pride.Simba walikuwa wangapi? Simba mmoja hawezi kula watoto watatu kwa wakati mmoja/Simultaneously.
Ulidanganywa wapi? 😂😂Wamasai huwa hawauliwi na simba kuna dawa hupaka hawa watoto imekuwaje aisee, inasikitisha sana
"...majira ya saa nne asubuhi katika Kijiji hicho wakati wanafunzi hao wakijerea nyumbani kutoka shuleni ..."
hiyo shule wanafunzi wanaenda shule mdaga gani na wanatoka muda gani? ama walikuwa wameelekezwa warejee nyumbani na walimu?
Wamasai huwa hawauliwi na simba kuna dawa hupaka hawa watoto imekuwaje aisee, inasikitisha sana
😁😁 niliwahi kusikia hii enzi hizo kua nyama ya binadamu ina chumvi chumvi wanyama wakali wanaipenda, sijui ni kweli au ndo ile kudanganyana tu😀😀😀😀 binadamu kunoga kwa chimba....binadamu ana chumvi chumvi.
Hapo watasakwa mpaka wauwawe!Kwamba ndio nyama tamu kuliko zote kwa simba au imekaaje hiyo mkuu??
Haki ya nani hizi simba tutazisaka na kuzipata hasiwezi kuonyesha tabia mbaya kwa masaiWamasai huwa hawauliwi na simba kuna dawa hupaka hawa watoto imekuwaje aisee, inasikitisha sana
Sio kweli bro King Kong. Watu huwa wanaaminishwa myths tu na wanakubali na kusambaza kama vile ni kweli.Ile dawa yao ni hatari inanuka balaa ,kuna siku kuna mmasai mwanadada alipanda basi alitokea mvomero akawa anaenda msamvu ,noma abiria ilibidi wamwambie dereva amshushe alikuwa anatema harufu kali ndio wadau wakasema ni dawa yao ili wasivamiwe na wanyama wakali.
Hapo watasakwa mpaka wauwawe!Kwamba ndio nyama tamu kuliko zote kwa simba au imekaaje hiyo mkuu??
Ndio akili ya mmasai anathamini mifugo mpka simba kaua familia yake...navyowajua hapo wanahasira n huyo simba sema hawawezi kumsakaWatoto watatu kati ya wanne ambao ni wanafunzi wa shule ya Msingi Ngoile na wakazi wa kijijj Cha Ngoile wilayani Ngorongoro Mkoani hapa wameuawa kwa kuliwa na Simba huku mmoja akijeruhiwa wakati wakitoka shuleni.
Akiongea ofisini Kwa kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha Justine Masejo aliwataja wanafunzi hao kuwa ni Olobiko Metui(10),Ndaskoi Sangau(9) na Sanka Saning'o (10) ambao wote ni wanafunzi wa darasa la tatu .
Aidha kamanda amedai kuwa kati ya watoto hao ,mtoto mmoja,Kiambwa Lektonyi(11) alinusurika kifo baada ya kujeruhiwa vibaya na Simba na anapatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya hiyo.
Masejo alifafanua kuwa tukio hilo limetokea juzi agosti 3 mwaka huu majira ya saa nne asubuhi katika Kijiji hicho wakati wanafunzi hao wakijerea nyumbani kutoka shuleni .
Ends.....
Huwa kuna sababu kwa nini simba anakamata binadamu na kuwala. Hii documentary niliangalia zamani kuhusu simba mla watu wa Rufiji.Kwamba ndio nyama tamu kuliko zote kwa simba au imekaaje hiyo mkuu??