Arusha vs dar es salaam

Ndio mahawara hawaachani..... na ninajua kuwa hajaniacha wala nini.ni majukumu tu ya kujenga nchi ndio yamembana.Lakini mie na yeye ni mpaka Kifo. Arushaone ndo jana kaniomba msamaha eti turudiana.............khaaaaaa!!!!!!!Kumbe bado ananipenda.
Vipi nafasi ya kidumu cha pembeni ipo naomba japo usiku mmoja
 
Last edited by a moderator:

mbona jirani yako umeniruka Madame B..?
 
Last edited by a moderator:

heeeeee kuna msuto....ngoja nikavae skini tait
 
madame B wakat Arushaone anasema wa nini Ben Saanane anasema ntampata lini
au aliona utazuzuka na hiyo suti yake ya kipaimara?

 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
wamesha full for form four for four years wamebaki home wanakula poketi mane za madingi zao wanazowaachia getini
kwa walinzi wao
tungojee tu kizazi cha hao kitakavyoisumbua hii nchi miaka ijayo.

Nipo fresh my switito....naangalia inji hii sijui inakwenda wapi .....wrong.....wale wanaipeleka wapi!!!
ona madogo wameanza kuchanganya madesa mapeeema!!!
 
Yah. Message ya Mswati ya kuomboleza kurudiana na Madame B.
Sitaki kuamini, kwamba Mswati anaweza kua "chapati ya maji" kiasi hicho ! Kufikia kukuangukia kihivyo! Azawaiz umaana wa Umswati hautokuwepo! Tumsubiri muhusika a'confirm ukweli wa barua hiyo.
 
Last edited by a moderator:

jamani Shem, mimi siwezi kumsingizia my X wangu,................ yani ni yeye kbs.
........Ushahidi ni huu.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…