Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
Mtaani kwenu hamna wasichana?Natafta rafki wa kke wa kuchat nae.Nimemalza 4m6 nastay arachuga rafki yeyeto wa kke ambae yuko interested antafute kwa joviel92@ovi.com au joviel92@gmail.com
Mie ni huyo wa Kati Kati, mwenye nguo Nyeusi nyeusi, Nakufaa?
Naitwa Madame B.
Nina Shemeji zangu watano.......... watu8, Nicas Mtei, Judgement, Mungi na Filipo.
Somo wangu ni gfsonwin, Kungwi wangu ni snowhite na Nyakanga wangu ni Lisa.
Nina Shosti zangu wa Ukwenhe....hatuogopi Mvua wala jua.......Popote tunalianzisha.. Paloma, Raiza, mwaJ, Mamndenyi, Evelyn Salt, dadawhite.
Nina wa Kunyumba wangu......... TA moja hiyo, stendi ya kwanza Korogwe Hoteli... King'asti.
Nina kaka zangu humu........ Mtambuzi, Mjeda, Erickb52, Mwanyasi, MziziMkavu, Mshuza2 na Tuko.
Nina Mjukuu mwenzangu mtukutu kama mimi....... Kongosho, Tuko na Babu yetu Dark City.
Nina wapenzi wangu humu... Chimbuvu, Chilli, tedo, Ben Saanane.......bila kuwasahau waliopita wakiongozwa na wa sasa Arushaone.
Nina wifi zangu humu....... charminglady, marejesho, Lily Flower na measkron.........japo mdogo wangu beibe nasty Judgement amembania.
Nina wanywaji wenzangu humu..... tukiongozwa na Asprin,... Bujibuji,... manoah,... Kipaji Halisi,... KakaKiiza,... cacico,... Paloma,... Mtambuzi, figganigga,..
Nina Kundi langu la MKODOBWE INC.COM....
Na vile vile tuna Pub yetu Maarufu ya kukutana iitwayo LEO TUPO HAPA PUB pale Mny'amala A au BRAJEC pale Survey.
Baada ya kusema yote hayo.............. Je, Utapenda kuwa na Mimi?
Tuma maombi yako hapa.
CC: asakuta same, Shark na bacha, Baba V na Nitonye
Mtaani kwenu hamna wasichana?
Madame B uko poa
hajambo Ben Saanane
umenipaisha sana kwa kunipa hii
"...........Nina Shosti zangu wa Ukwenhe....hatuogopi Mvua wala jua.......Popote tunalianzisha.. Paloma, Raiza, mwaJ, Mamndenyi, Evelyn Salt, dadawhite. ..............
nakupa thano.
Madame B uko poa
hajambo Ben Saanane
umenipaisha sana kwa kunipa hii
"...........Nina Shosti zangu wa Ukwenhe....hatuogopi Mvua wala jua.......Popote tunalianzisha.. Paloma, Raiza, mwaJ, Mamndenyi, Evelyn Salt, dadawhite. ..............
nakupa thano.
Yaani Ben Saanane wangu tangu alivoondoka Jumatatu, sijamuona mpaka leo.
Sijui kama ni mzima au ndo washam-Kibanda.
Moyo waniuma sana.
Au ulikuwa unanitumia PM ukiwa umelewa..!?? wewe si ndo ulisema unahitaji kuonana na mimi this week end eti kisa Mr Rocky tangu alivyoondoka ijumaa kuu hujamuona..!!? na kuwa aliondoka na hela zako za upatu...!?? namuona hapa chini anachungulia, ngoja ajibu
ha ha ha ha ha
haaaa
si umesema hawara hawaachani?
Ndio mahawara hawaachani..... na ninajua kuwa hajaniacha wala nini.
ni majukumu tu ya kujenga nchi ndio yamembana.
Lakini mie na yeye ni mpaka Kifo.
Arushaone ndo jana kaniomba msamaha eti turudiana.............khaaaaaa!!!!!!!
Kumbe bado ananipenda.
Ndiyo habari ya mujini kwa sasa bibie!