Hizi ni baadhi ya picha za jana katika kata ya Elerai mjini Arusha, Tukiwaeleza wana elerai wasikubali kuongozwa na Chama kilicho poteza dira na Mwelekeo ccm, Nilikuwa na Kamanda James Millya. Mita chache Nape Nauye Alikuwa na Mkutano bahati mbaya alikosa watu Leo Jioni tutahitimisha kampeni zetu Eneo la Soweto Kata ya Kaloleni Mbowe na Lwakatare wataongoza mapambano
ARUSHA USHINDI NI LAZIMA Mwigulu na Nape naj
uwa mtaondo
ka mapema sana kesho"
ARUSHA USHINDI NI LAZIMA Mwigulu na Nape naj