Arusha Ushindi Lazima 16,06,2013

Imma Saro

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
394
197
Hizi ni baadhi ya picha za jana katika kata ya Elerai mjini Arusha, Tukiwaeleza wana elerai wasikubali kuongozwa na Chama kilicho poteza dira na Mwelekeo ccm, Nilikuwa na Kamanda James Millya. Mita chache Nape Nauye Alikuwa na Mkutano bahati mbaya alikosa watu Leo Jioni tutahitimisha kampeni zetu Eneo la Soweto Kata ya Kaloleni Mbowe na Lwakatare wataongoza mapambano
ARUSHA USHINDI NI LAZIMA Mwigulu na Nape naj
1001773_294091880727819_27564456_n.jpg
uwa mtaondo
946670_294122144058126_1283471999_n.jpg
ka mapema sana kesho"
222416_294122337391440_406228590_n.jpg
 
Nimetumiwa meseji na magamba yanasema nipeleke kadi shule moja ipo temi eti kunahela nzuri ntapewa
 
Kwa garama yoyote tunalinda kura zetu. Watatuuwa kwa risasi lakini hawatashinda
 
Back
Top Bottom