nasikia ndo wewe au umeshaachwaKweli ni tapeli, muulize hata mkewe wa ndoa.
We muuza maji wa Sinza huna akili.
Habari za watu watokao nyanda za juu kaskazini kuishabikia chadema kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi chadema ikichukua inji tra haitawasumbua watoto wetu wapo huko na raisi lazima atoke kaskazini hao wengine wanatafuta umaruufu tu hapa chadema.
sasa nawauliza hiyo serikali itakuwa ya kibaguzi wao wasilipe wengine wasilipe je hiyo ni haki?
uwezo wako wa kufikiri hapo ndo umefika mwishoHabari za watu watokao nyanda za juu kaskazini kuishabikia chadema kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi chadema ikichukua inji tra haitawasumbua watoto wetu wapo huko na raisi lazima atoke kaskazini hao wengine wanatafuta umaruufu tu hapa chadema.
sasa nawauliza hiyo serikali itakuwa ya kibaguzi wao wasilipe wengine wasilipe je hiyo ni haki?
nasikia ndo wewe au umeshaachwa
naunga unaandika kinyume mkuu hakuna chama chenye ukabila na udini kama ccm hilo lipo waziUkabila kwa chadema upo wazi sana lakini kuwapa nchi hatuwezi jamaa ni wezi na wakabila kweli hawafai kabisa.
Chadema mti gani wa matunda wakati majambazi kupindukia ukabila ndiyo mahala pake pale chadema.CHADEMA ni mti mwenye matunda ndo maana unapigwa sana mawe kama huku JK kila thread lazima ukute neno CHADEMA wanasema ukiona kitu watu wanakijadili sana basi ujue wanakikubali CHADEMA INAKUBALIKA kila mahali
una wivu ulitaka akajinjari na ww funguka tukusaidie mkuuwe leta masihara tu, mbowe ni tapeli mkibwa. By the way,;umeshachangia kwa M-pesa fedha za kujirusha za Mbowe ili ajivinjari na Joyce!
kumbe ukweli unauma hakuna chama chenye watu wahuni kama ccmChadema mti gani wa matunda wakati majambazi kupindukia ukabila ndiyo mahala pake pale chadema.
kumbe ukweli unauma hakuna chama chenye watu wahuni kama ccm
Mkuu wewe mbona ni mwehu?
Habari za watu watokao nyanda za juu Kaskazini kuishabikia CHADEMA kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi CHADEMA ikichukua nchi TRA haitawasumbua watoto wetu wapo huko na rais lazima atoke Kaskazini hao wengine wanatafuta umaarufu tu hapa CHADEMA.
Sasa nawauliza hiyo serikali itakuwa ya kibaguzi wao wasilipe wengine wasilipe je hiyo ni haki?