Arusha- Ukweli mchungu!

Arusha- Ukweli mchungu!

Bwa'mdogo tulia. Acha kiherehere kama kuku anayetaka kutaga. Sehemu zote ambako CDM imeshinda (hususan hizo ulizotaja) kuna mvutano kati ya CDM na hayo majambazi yanayojiita watawala. Tofauti ni kiwango tu.
Hebu tueleze ni vurugu gani zimetokea moshi? Mbona pametulia kuliko hata alipotokea Kikwete?
 
hahaa, unataka tuamini ulichoandika kwakua upo arusha?? kua Arusha pekee haileti maana yoyote ile....
haya kachukue 7,000/= yako pale lumumba leo umekazana sana utapata na allowence
 
Huna lolote mnafiki wewe. Tunataka siasa safi. Kwani Arusha peke yake ndio cdm inanguvu? Mbona mwanza hatuoni fujo, mbeya je? Kinacho waharibia cdm ni ufinyu wa akili wala sio CCM.
haya kachukue 7,000/= yako leo na allowance pale lumumba
 
majebere; We Kaka/Dada/Mama/Baba ni mpuuzi kwani unapuuzia mambo ya ukweli kwa kujifurahisha Kiccm. Aliyekwambia Mbeya kuna usalama ni nani? Juzi juzi hapa Mhe.Mwamposa amedhuriwa na green guard wa CCM au wewe ulikuwa Iramba? Bado mwaka jana, tulishuhudia vurugu ndani ya siku 2 mfululizo kuanzia Mafyati hadi Uyole mabomu yalipigwa kisa serikali ya CCM kuwanyanyasa Machinga. Kwenye uchaguzi mdogo kata ya Kiwira watu waliumizwa kwa hila za CCM kulazimisha ushindi na kuzua vurugu kabla ya kuangukia pua, nenda kamuulize Mama yako Anne Kilango Malecela alivyopotea kama upepo. Kuhusu Mwanza ndo usiseme, CCM waliwavamia na kuwakata mapanga wabunge wa CHADEMA Mhe.Highness Kiwia na Machemli kwenye uchaguzi mdogo kata ya Kirumba lakini bado CCM iliangukia kisogo. Baada ya kushindwa Pinda aliamuru jiji ligawanywe ili CCM iongoze Umeya Nyamagana, huku Ilemela ni mgogoro!
 
Last edited by a moderator:

Porojo tupu.
 
uchaguzi wa meya ungefanyika kwa haki haya yanayotokea leo yaneweza kutokea kweli.
Huna lolote mnafiki wewe. Tunataka siasa safi. Kwani Arusha peke yake ndio cdm inanguvu? Mbona mwanza hatuoni fujo, mbeya je? Kinacho waharibia cdm ni ufinyu wa akili wala sio CCM.
 
Huna lolote mnafiki wewe. Tunataka siasa safi. Kwani Arusha peke yake ndio cdm inanguvu? Mbona mwanza hatuoni fujo, mbeya je? Kinacho waharibia cdm ni ufinyu wa akili wala sio CCM.

wewe ni juha wa siasa,ccm kila kiongozi ananunua kura maana yake HAMKUBALIKI sasa Arusha ndipo liliazia azimio la 1967,sasa chadema nguvu yake itaongozwa tokea huko 2015 kwa mbinu zenu za kishetani tegemeeni mabaya kuliko ya kenya.Lazima tuwaondoe hamkubaliki.
 
Umeona mbali ukaamua kusema yaliyo mema, bahati mbaya CCM hawaoni huo umbali mnaoona wengine na hata wakiambiwa na wanaoona mbali kuwa upande huu msinde au muende kwa tahadhari wenyewe wamelalia masikio, kwa sasa ndani ya CCM anasikilizwa mtu mmoja tu Nchemba.

nadhani nchemba amepewa cheo kuisambaratisha chadema.na atakuwa analindwa.sisi yetu macho.inasemekana ludo alikuwa mtu wake pale chadema makao makuu.kuna tetesi kuwa ludo alikuwa mmoja wa watu waliomtesa kibanda.ukijaribu kuunganisha utapata majibu ya maswali mengi sana.
 
Kukubali kuielewa na kuikubali historia ya arusha kutaifanya ccm pia kukubalika arusha,japo kwa taratibu mno,Mbunge wa mwisho wa halali kutoka ccm hapo arusha alikuwa ni Kanali kinana,tokea hapo ccm haikuwahi kuwa na mbunge aliyechaguliwa kihalali arusha,anguko la ccm arusha halikuanza awamu hii ya chadema kama ma whistle blower wao wanavyodhani,wala wana arusha si tu waumini wa chadema kama inavyofikirika,bali ni wapenda mabadiliko,mabomu ya machozi na risasi za moto hazijaanza wala kuletwa na chadema,mabomu yalipigwa kwenye mkutano wa Augustine mrema akiwa nccr,yalipigwa akiwa Tlp,mabomu na risasi vilirindima kipindi cha uchaguzi uliompa mh Malla ubunge ulioporwa baaadaye na ccm,Mh lema alipogombea kupitia Tlp pia mabomu yalihusika,naweza sema nimeyajua mabomu kabla y kuijua Chadema,Nikiwa kijana mdogo 18- nilipewa dili na ccm la kuwakusanya vijana wakamata nyoka,ili kwenda kuvuruga mikutano ya mrema(Augustine)walichokifanya vijana wale ni kudondosha nyoka katikati ya mkutano na kisha kupiga kelele kuwashtua watu ili wasi concentrate na mkutano,Arusha haikuwahi kurudi nyuma kwenye field ya mabadiliko,Tatizo la ccm ni kujilazimisha na kulazimisha dunia iamini kwamba Chadema ndiyo tatizo,they are in the wrong track,wakitaka kweli kulielewa tatizo la arusha wasifupishe upeo,waangalie mbali zaidi ya miaka kumi iliyopita,na wataona michirizi ya tatizo ilipotokea,na huko wanaweza kulibaini tatizo,tena ndani yao wenyewe.

Hadithi yako nzuri sana mkuu
 
Hebu tueleze ni vurugu gani zimetokea moshi? Mbona pametulia kuliko hata alipotokea Kikwete?

moshi hakuna vurugu mkuu, wanadai haki kwenye ardhi ya wengine...haki ambayo hatuhitaji kukumbushwa na wageni
 
Huna lolote mnafiki wewe. Tunataka siasa safi. Kwani Arusha peke yake ndio cdm inanguvu? Mbona mwanza hatuoni fujo, mbeya je? Kinacho waharibia cdm ni ufinyu wa akili wala sio CCM.
labda tukumbushane uchaguzi mkuu 2010 ulikuwaje mbeya, mwanza, shinyanga mjini, karagwe, iringa mjini, arusha, ubungo nk. huko kote chadema wananguvu, je tunakumbuka vilele ccm ilikuwa ikifanya maeneo hayo? madharani mwanza matokeo yalitangwaza kimbinde mno, na hata RPc wake wakamshusha cheo kiana, tatizo Arusha ni umeya, sijui kwa nini CCm wanataka lazima umeya wachukue wao, na hata mwanza wamefanya mizengwe ilimradi 2 wachukue wao umeya. Ki ufupi CCM ni power mongers !
 
Kweli huu ni ukweli mchungu wakiukubali waumeze,kama hawataki wanaacha lakini utabaki kuwa ukweli'
 
uko sahihi.lakini ccm wakiendelea kutumia vichwa vyao Mzee wa Gombe ,Nchemba Alshababu na mtafuta baba wanapotea.
Huyo ameshampata baba yake yule waziri asiyekuwa na kazi maalumu, hivi sasa anatafuta bwana.
 
Huna lolote mnafiki wewe. Tunataka siasa safi. Kwani Arusha peke yake ndio cdm inanguvu? Mbona mwanza hatuoni fujo, mbeya je? Kinacho waharibia cdm ni ufinyu wa akili wala sio CCM.

acha uongo tunahitaji vitu vinne....
1. watu ( ambao wamewakataa chama cha mauaji(ccm) , ambao wanauliwa na chama cha mauaji(ccm) , ambao wanateswa na chama cha mauaji(ccm) ,ambao wanapigwa mabomu na chama cha mauaji(ccm))

2. Ardhi ( ambayo chama cha mauaji(ccm) inawagaia wageni kwa rushwa na ufisadi)

3. siasa safi ( ambayo chama cha mauaji(ccm) imeigeuza na kuifanya uhuni chini ya jk, nape ,mwigulu na kinana)

4. uongozi bora ( ambayo chama cha mauaji(ccm) imeigeuza na kuifanya kuwa bora uongozi , halafu sasa hivi naona chaji ya automatic inayoiendesha nchi hii imeanza kwisha)
 
mwalimu nyerere alituachia amani tele..saivi magaidi wameizunguka tanzania
 
huyu vuta nikuvute ni janga la kawaida tu la hapa nchini, mada zake za kijinga kijinga tu
 
In short Wana-CCM na Serikali inatakiwa kujua kuwa Tanzania (Tanganyika) ni yetu sote.Siasa isiwe uadui ,iwe tu kama Simba na Yanga.Serikali ikubali kushindwa kwani asiyekubali kushindwa si mshindani.Akiwa mwanachama wa CHADEMA,CUF,NCCR au CCM bado ni watanzania.Tusitafute sababu zisizo na msingi.Hii ni aibu kubwa kwa WATAWALA wetu na wala si vyama vya upinzani.

Hawa CCM walituaminisha CUF ni chama cha waislamu na wameleta majambia ili kuanzisha vita,leo tunaelezwa yaleyale ya CUF na vurugu lakini watanzania wajana siyo wa leo na wala hawatakuwa wa kesho.
 
Back
Top Bottom