Arusha- Ukweli mchungu!

Arusha- Ukweli mchungu!

Ukombozi utaanzia Arusha mkuu...!!!
Tulia uone..

Kaka mbowe apeleke vurugu moshi na kna lema huwez kuharbu ajra za vjana ukasema ndio ukomboz huu ni upumbavu kwa nn kna lema na mbowe wasiende vwanja vya tpc,na moshi ushrka kwenda kuhandamana zlpo biashara zao wasituletee upumbavu arusha tumechoka polis wawashughulikie hawa jamaa...enz za mkapa huu upuuz usingeweza kuuona kla kukicha arusha vurugu na mahandamano tumechoka wakaandamane moshi
 
Huna lolote mnafiki wewe. Tunataka siasa safi. Kwani Arusha peke yake ndio cdm inanguvu? Mbona mwanza hatuoni fujo, mbeya je? Kinacho waharibia cdm ni ufinyu wa akili wala sio CCM.

Mkuu uwe na kumbukumbu usiwe mtu wa kusahau.Mikoa hiyo uliyoitaja ya Mbeya na Mwanza siyo ya kasikazini na wachaga hawapo kwa hiyo CHADEMA haipo wala haijawahi kuwepo mikoa hiyo.
 
Kaka mbowe apeleke vurugu moshi na kna lema huwez kuharbu ajra za vjana ukasema ndio ukomboz huu ni upumbavu kwa nn kna lema na mbowe wasiende vwanja vya tpc,na moshi ushrka kwenda kuhandamana zlpo biashara zao wasituletee upumbavu arusha tumechoka polis wawashughulikie hawa jamaa...enz za mkapa huu upuuz usingeweza kuuona kla kukicha arusha vurugu na mahandamano tumechoka wakaandamane moshi
CCM hawana hata meno wakisikia Moshi ndio kwanza wanapeleka kila msaada wakifikiri kuna siku mkono utadondoka wachukue Moshi,moshi CCM wanajiharishia wakiisikia sasa unatuambia ni wewe mnywa viroba vya CCM
 
uko sahihi.lakini ccm wakiendelea kutumia vichwa vyao Mzee wa Gombe ,Nchemba Alshababu na mtafuta baba wanapotea.

Mchungaji msigwa amuombe radhi yule mwizi wa tembo wetu labda watatusamehe vinginevyo chadema tutakula risasi kama swala kwenye vitalu vya kuwindia
 
Namshukuru sana rpc athuman diwan wa mbeya namna alivyo ya shughulikia makambi ya mwigulu nchemba maana ccm inge juta kwa kuanzisha makambi hayo,kwani vijana wa iyela walijiaandaa kikamilifu kujibu mapigo kwa nguvu kubwa ili iwe fundisho.hongera kamanda diwani.
 
Huna lolote mnafiki wewe. Tunataka siasa safi. Kwani Arusha peke yake ndio cdm inanguvu? Mbona mwanza hatuoni fujo, mbeya je? Kinacho waharibia cdm ni ufinyu wa akili wala sio CCM.

Wewe unaishi pori gani mkuu....?
 
Huna lolote mnafiki wewe. Tunataka siasa safi. Kwani Arusha peke yake ndio cdm inanguvu? Mbona mwanza hatuoni fujo, mbeya je? Kinacho waharibia cdm ni ufinyu wa akili wala sio CCM.
Yaani wewe inaonekana hata Arusha hujawahi fika!
 
Hiyo ndio hali halisi,asiye amini atakuwa na Mtindio wa ubongo maana inajionyesha wazi.
Tena Serikali ikikubaliana na hilo Arusha ni sehemu salama kuliko maeneo mengine nchini
 
Habari za watu watokao nyanda za juu Kaskazini kuishabikia CHADEMA kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi CHADEMA ikichukua nchi TRA haitawasumbua watoto wetu wapo huko na rais lazima atoke Kaskazini hao wengine wanatafuta umaarufu tu hapa CHADEMA.

Sasa nawauliza hiyo serikali itakuwa ya kibaguzi wao wasilipe wengine wasilipe je hiyo ni haki?
 
Habari za watu watokao nyanda za juu kaskazini kuishabikia chadema kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi chadema ikichukua inji tra haitawasumbua watoto wetu wapo huko na raisi lazima atoke kaskazini hao wengine wanatafuta umaruufu tu hapa chadema.
sasa nawauliza hiyo serikali itakuwa ya kibaguzi wao wasilipe wengine wasilipe je hiyo ni haki?
Bahati mbaya siku hizi ukitaka ku.re-seat lazima ufanye masomo yote saba!
 
Habari za watu watokao nyanda za juu kaskazini kuishabikia chadema kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi chadema ikichukua inji tra haitawasumbua watoto wetu wapo huko na raisi lazima atoke kaskazini hao wengine wanatafuta umaruufu tu hapa chadema.
sasa nawauliza hiyo serikali itakuwa ya kibaguzi wao wasilipe wengine wasilipe je hiyo ni haki?

Hii thread =ushuzi+uharo+matapishi+makohozi
 
Habari za watu watokao nyanda za juu kaskazini kuishabikia chadema kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi chadema ikichukua inji tra haitawasumbua watoto wetu wapo huko na raisi lazima atoke kaskazini hao wengine wanatafuta umaruufu tu hapa chadema.
sasa nawauliza hiyo serikali itakuwa ya kibaguzi wao wasilipe wengine wasilipe je hiyo ni haki?

Mbowe ni tapeli.na watakuja kumstukia wakati ambapo hawatakuwa na uwezo wa kumuondoa. Serikali gani itakuwa haina kodi!
 
Habari za watu watokao nyanda za juu kaskazini kuishabikia chadema kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi chadema ikichukua inji tra haitawasumbua watoto wetu wapo huko na raisi lazima atoke kaskazini hao wengine wanatafuta umaruufu tu hapa chadema.
sasa nawauliza hiyo serikali itakuwa ya kibaguzi wao wasilipe wengine wasilipe je hiyo ni haki?
bangi ni mbaya sana ndo umeandika nn hapa UKAWA ndo habari ya mjini
 
Back
Top Bottom