Arusha- Ukweli mchungu!

Arusha- Ukweli mchungu!

Huna lolote mnafiki wewe. Tunataka siasa safi. Kwani Arusha peke yake ndio cdm inanguvu? Mbona mwanza hatuoni fujo, mbeya je? Kinacho waharibia cdm ni ufinyu wa akili wala sio CCM.
Mimi nafikiri wewe ndo mnafiki uliyepitiliza tatizo lenu kubwa kila mkifanyacho hamuweki kumbukumbu kama ambavyo mlivyosahau hata ahadi mlizoaidi, uko mbeya na mwanza amjawahi kuua?unatakiwa ujue wenye ufinyu wa mawazo ni hao wanaotoa maagizo ya kuua na wewe unaoshabikia
 
CCM ilishakataliwa siku nyingi sana,nakubaliana na capt tamaar kwani kwa miaka takribani kumi iliyopita mbunge wao Filex Mrema alikuwa anapita kwa wizi wa kura,toka alipoiba kura za Mala na Lema,CCM walitaka wabadilike kwa kumteua Dr Batilda Buriani lakini ilikuwa too late hawakusoma alama za nyakati,leo hii mpaka watoto wadogo wanaiota CHADEMA,huku muamko wa mabadiliko ulianza siku nyingi sana.Watu wa Arusha wasilazimishwe kuipenda CCM bali washawishiwe kwa sera na mabadiliko chanya.
 
Iringa hapo awali haikuwa na chama cha upinzani wananchi wa kule walikuwa hawaelewi nini maana ya upinzania, walitafsiri upinzania kama vita. Kutokana na umbumbumbu wa wananchi kuhusu vyama vingi CCM ilibweteka ikajisahau na ikaendelea na "Viahadi Feki kama ilivyozoea" Wakati hayo yakiendelea wananchi wakawa wanafunguka taratibu kuelewa dhana ya vyama vingi. CCM ni ZIMWI HATA KULE IRINGA!! CCM ni kama jini mahaba kwa wananchi wa Iringa ambalo kamwe hawataji liingilie ndoa yao na Chadema!!!




CCM ni JINI MAHABA

Amen..... Umenena hata Shinyanga ambako watanzania wengi walifikiri wasukuma ni mbumbumbu wamegeuka sasa hawaelewi kitu upinzania umeshamiri na ukiona msukuma kawapa mgongo ujue imetoka hao mpaka kuwageuza tena miaka 50.
 
nadhani nchemba amepewa cheo kuisambaratisha chadema.na atakuwa analindwa.sisi yetu macho.inasemekana ludo alikuwa mtu wake pale chadema makao makuu.kuna tetesi kuwa ludo alikuwa mmoja wa watu waliomtesa kibanda.ukijaribu kuunganisha utapata majibu ya maswali mengi sana.

Sio suala la kudhani Mkuu, Nchemba amefika pale alipo kwa kuwa alionekana anamdomo mchafu wa kuichafua chadema,sasa sio mdomo mchafu tena kaamua kutumia na mikono na ulinzi ni lazima apatiwe maana wanajua ni mtu wao na wanamchezesha mchezo mchafu sana tena wa hatari na hatari hiyo sio kwa Nchemba peke yake bali na hata wanaomtuma..........bado naamini katika historia kuwa huwezi kushindana nayo, hapa namaanisha kuna falme na tawala nyingi zilishaanguka na dalili zilikuwa kama hizi za CCM ya leo.......wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii.
 
Ni dhahiri kabisa sasa imebainika kwamba ile Timu ya IGP Mwema ya Makamishina wa Polisi Paul Chagonja na Issaya Mngulu wako Arusha kwa ajili ya kuhakikisha kwamba Ushahidi wote unaoweza kupatikana kuhusu aliye/waliorusha Bomu pale Soweto unapotezwa ili kuficha siri ya CCM kulitumia Jeshi hilo la Polisi kulipua Bomu na kuua watu kwenye Mkutano wa CHADEMA.

Dalili zote zinaonyesha kabisa kuwa hawana dhamira na nia ya kweli ya kwenda Arusha kutafuta aliyelipua Bomu hasa baada ya kubainika kwamba Polisi wanahusika na mlipuko huo wa Bomu. Vifuatavyo ni viashiria vinavodhihirisha kuwa Polisi hawako tayari kukubaliana na maelezo yaliyotolewa na Viongozi wa Chadema akiwemo Mhe. Freeman Mbowe Mbunge na Mwenyekiti wa Chama Taifa:

  1. Kwa sasa wanahaha kumtafuta Mbowe na Lema wakiwalazimisha walete ushahidi wa video waliyonayo ili waifanyie kazi! Na iwapo Mbowe na Lema watakataa basi watatumia sheria ya kipolisi kuwalazimisha watoe huo ushahidi. Hapa watu lazima wajiulize kwanini wang'ang'anie ushahidi wa Chadema? Kwanini Chagonja na Mngulu hawawahoji Polisi wao ambao waliokuwepo kwenye tukio wakilinda usalama kwanini hawakuzuia au kumkamata yule ADUI?
  2. Tayari wamesha enda hospitali kumtafuta ili wakamuhoji yule kijana wa Chadema aliyepigwa risasi na Polisi ambaye amesema kuwa alimwona aliyerusha Bomu akikimbia akataka amkamate lakini alipomkaribia tu akapigwa risasi na Polisi ili asiweze kumkamata! Kawaida kama kuna mtu anatuhumiwa na ni majeruhi au mgonjwa yuko Hospitalini, Polisi wanatakiwa kumhoji ili aandikishe maelezo yake akiwa kitandani palepale hospitalini na si kumtorosha. Hapa Polisi wanataka aidha kummaliza au kumfundisha/kumlisha maneno ya uongo kwa kumpa hela. Kumbukeni kuna zile Shilingi 100 milioni za madafu.
  3. Kuna watoto wako hospitalini wamedai kuwa walipigwa Risasi na Polisi na vyombo vya habari vimeripoti hivo. Jambo la kushangaza ni kwamba badala ya kwenda kuwahoji hawa watoto ambao wangekuwa mashuhuda wazuri wao wanawatafuta Mbowe na Lema wawape mkanda wa video.
  4. Pale kwenye tukio kumeonekana yale masalia ya BOMU LILILOTENGENEZWA CHINA NA BOMU HILI HUTUMIWA NA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA(Polisi na JWTZ). Sijawasikia hawa waheshimiwa wakiweka wazi nani mmiliki wa Bomu hilo?Kama linatumika kwa Majeshi ya Ulinzi na usalama kwanini hawawaulizi Polisi au Wanajeshi nani alienda Armory(Ghala ya Silaha) akaruhusu lile Bomu likatumike kwenye Mkutano wa CHADEMA?
  5. Kuna tuhuma kuwa CHADEMA walipanga kujilipua kwa Bomu ili waonewe huruma na Wananchi wa Arusha kwenye Uchaguzi wa Madiwani baada ya kuona hali ni ngumu. Je, kama kweli ni CHADEMA hilo BOMU walilipata wapi na limeingiaje nchini kutoka China mpaka Arusha bila kukamatwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwenye mipaka yetu au Viwanja vya Ndege? Huo ni uongo.Bado mpira unarudi kwa Policcm na Serikali yao.

Kwa hiyo ili kuhakikisha kuwa aibu hii ya CCM na Serikali yake lazima Timu ya IGP Mwema ikiongozwa na Chagonja na Mngulu ihakikishe chama cha CCM na Serikali yake hawaumbuki.

Ushauri wangu kwa CHADEMA:


  1. Kama kweli CHADEMA wana huo mkanda wa Video ya tukio lote basi watoe copies nyingi kadri iwezekanavyo na wazitawanye kwenye Taasisi mbalimbali zenye kuaminika kama Balozi za Nchi marafiki au Jumuia za Kimataifa kama UN,AU na EAC pamoja na Vyama vya Wanaharakati ili kuweka kumbukumbu ambayo haitafutika.
  2. CHADEMA washinikize kuundwa kwa Tume Huru ambayo haitawahusisha Polisi. Tume hiyo iundwe na Jopo la Wana Jeshi wa JWTZ(Wataalamu wa Mabomu/silaha), Wana sheria(Majaji au Mahakimu wa Serikali/Kujitegemea),Raia wa Kawaida(Wafanyibiashara au Wafanyakazi) na Wabunge lakini wasitoke CHADEMA au CCM,Jumuia za Kimataifa(UN,AU au EAC). Hapa tunaweza kupata taarifa ya ukweli isiyopendelea upande wowote.
Kazi kwenu CHADEMA.
 
hahaa, unataka tuamini ulichoandika kwakua upo arusha?? kua Arusha pekee haileti maana yoyote ile....

Ndo umezinduka eeeh!
Hii stroke iliyokuharibu ubongo sidhani kama itapata tabibu!
Mjaribuni Kigwangallah!
 
Nina mashaka makubwa na mada yako.Haiwezekani hata siku moja kupenda chama kinachoua wananchi kinaowatawala.Hii itakuwa ni kiini macho.Acha kutudanganya.Hao ccm wakafanye hayo unayoyasema sehemu nyingine na sio Arusha.

Ni kweli kabisa!
Huwezi kupenda chama kinachoua wananchi kwa gharama kubwa za kuishi, huduma mbovu za afya, watu kuwa na utapiamlo kutokana na elimu mbovu ya lishe!
Huwezi kukipenda chama kinachoua na kusingizia wenzao!
Nawashangaa viongozi wengine kulazimisha kupendwa na kuwatishia kwamba wasipowapenda WATAKUFA TU
Sasa wameanza KUFA kwa kukataa kulazimishwa KUPENDA..!
 
Bendera tu sio kigezo chakukubalika, Kata ya Daraja II hapa Arusha CCM walifunga Bendera mingi saaana LAKINI CHADEMA walishinda kwa kishindo. Marudio ya Uchaguzi wa madiwani kwa kata 4 hapa A.Town wamezungusha na kutundika Bendera zao sio haba LAKINI kiukweli CHADEMA NI washindi kabla hata ya kupiga KURA hapa jiji la Arusha ndio maana ma-CCM yanatumia mbinu zote kuhakikisha wanabakia na Meya feki mpaka 2015,DUNIA YOTE IJUE HAPA ARUSHA CHADEMA NDIO CHAMA TAWALA NA CCM NI CHAMA CHA UPINZANI.
 
Huna lolote mnafiki wewe. Tunataka siasa safi. Kwani Arusha peke yake ndio cdm inanguvu? Mbona mwanza hatuoni fujo, mbeya je? Kinacho waharibia cdm ni ufinyu wa akili wala sio CCM.

Majebere huyoooooooooo!
 
Nyinyiem ni mahayawani,jini mahaba,magaidi,mafisadi,wezi na mengine mengi machafu.....ni kuwakataa na kuwaepuka kama ukoma!!!
 
Amen..... Umenena hata Shinyanga ambako watanzania wengi walifikiri wasukuma ni mbumbumbu wamegeuka sasa hawaelewi kitu upinzania umeshamiri na ukiona msukuma kawapa mgongo ujue imetoka hao mpaka kuwageuza tena miaka 50.

Nashukuru sana kwa taarifa yako nzuri, damu za wenzetu waliokufa bila hatia Mungu azirejeshe kwa wahusika waliopanga na kutekeleza mauaji hao!
 
Lakini jamba la kujiuliza ni kwa nini kila sehemu pakitokea mauaji wanalalamikiwa polisi?
 
Iringa nadhani ni moja ya sehemu iliyopata wabunge wa upinzani 1995!

Iringa hapo awali haikuwa na chama cha upinzani wananchi wa kule walikuwa hawaelewi nini maana ya upinzania, walitafsiri upinzania kama vita. Kutokana na umbumbumbu wa wananchi kuhusu vyama vingi CCM ilibweteka ikajisahau na ikaendelea na "Viahadi Feki kama ilivyozoea" Wakati hayo yakiendelea wananchi wakawa wanafunguka taratibu kuelewa dhana ya vyama vingi. CCM ni ZIMWI HATA KULE IRINGA!! CCM ni kama jini mahaba kwa wananchi wa Iringa ambalo kamwe hawataji liingilie ndoa yao na Chadema!!!




CCM ni JINI MAHABA
 
Zee La Lumumba VUTA-NKUVUTE Tupa tupa Umetulia sana kuandika hiki kipande. Hakuna ulichosaza, CCM haikubaliki zaidi ya kutumia bunduki na mabomu sasa na kusingizia kesi
 
Last edited by a moderator:
Wana-Arusha wanataka CHADEMA. Wanaishi na kuiamini CHADEMA. Mioyo yao inaongozwa na CHADEMA. CHADEMA inapendwa kwakuwa inahoji,inaahidi,inafanya pamoja na wananchi,inazungumza nao na kushiriki nao kijamii.Wako hivyo. Kwa hapa Arusha, 'chama tawala' ni CHADEMA. Hali hii inakera watawala-CCM. CCM wanajiona wanapuuzwa Arusha. Hawasikilizwi.Hawaheshimiwi. Hawashangiliwi. Hawasindikizwi. CCM inataka 'kutawala' Arusha.Ni jambo linalowezekana.

Kaka unachosema si kweli arusha kila mtu ameshaichoka chadema kutokana na vurugu na maandamano yasiyoisha biashara ya utalii imeyumba wagen hawana iman na aman ya arusha watu mtaan wanasema sasa wamechoka kna mbowe ,ndesamburo na lema wapeleke maandamano na vurugu kwao moshi zlpo biashara zao za utalii na mahoteli wameisfanya arusha darfur kila mtu amechoka tuliamn chadema ni chama klichokuja kukosoa uozo wa ccm lakn mwshon imegeuza arusha uwanja wa vurugu...kulkuwa na ulazma gan wa kwenda kuagia miili soweto kwann wasingetuma ujumbe wa viongoz wa cdm kwenda kuagia kwenye familia huska ts too much MBOWE na CHADEMA tumewachoka na vurugu zsizoisha arusha
 
peleken vurugu moshi waachen wana arusha waendelee na utulivu wao...all v u ur a busines man hamna jpya achen kuifanya arusha iraq...umaskn mnaousema arusha haupo arusha si mkoa wa walala hoi wanaoandamana na nyie ni wapga debe
 
Ukombozi utaanzia Arusha mkuu...!!!
Tulia uone..

Kaka mbowe apeleke vurugu moshi na kna lema huwez kuharbu za vjana ukasema ndio ukomboz huu ni upumbavu kwa nn kna lema na mbowe wasiende vwanja vya tpc,na moshi ushrka kwenda kuhandamana zlpo biashara zao wasituletee upumbavu arusha tumechoka polis wawashughulikie hawa jamaa...enz za mkapa huu upuuz usingeweza kuuona kla kukicha arusha vurugu na mahandamano tumechoka wakaandamane moshi
 
Back
Top Bottom