Arusha- Ukweli mchungu!

Arusha- Ukweli mchungu!

Habari za watu watokao nyanda za juu Kaskazini kuishabikia CHADEMA kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi CHADEMA ikichukua nchi TRA haitawasumbua watoto wetu wapo huko na rais lazima atoke Kaskazini hao wengine wanatafuta umaarufu tu hapa CHADEMA.

Sasa nawauliza hiyo serikali itakuwa ya kibaguzi wao wasilipe wengine wasilipe je hiyo ni haki?
Unajua WACHAGA wamesambaa bongo yote kutafuta rizki,na wengine wapo ktk ofisi za UMMA,chaajabu karibu wote wanaishabikia CDM.
 
Cd ya ukabila ilishachuja hebu tungeni nyingine bana

Mkuu wewe hutakii watu heri! Sasa kama hakuna cd nyingine wafanyeje wakati bila kupost watu hawaendi MSALANI ? Hali ni mbaya sana ndani ya magamba ndio maana siku hizi hata Nepi humsikii.
Kwanza habari nilizosikia (tetesi) ni kuwa kikosi cha buk7 kinataka kuvunjwa kwa vile kila hoja wanayoileta ni kama kuweka mbolea ya chumvichumvi katika ustawi wa Chadema. Huwa wanakuja kushtuka wakati mada imeshika kasi na kuamua kutukana wakati thread wameanzisha wenyewe. Nadhani kwa sasa CCM inaongoza barani Afrika kwa kuwa na kitengo cha propaganda chenye Mazoba wengi waliokubuhu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom