Arusha- Ukweli mchungu!

1414848297861.jpg
 
Habari za watu watokao nyanda za juu Kaskazini kuishabikia CHADEMA kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi CHADEMA ikichukua nchi TRA haitawasumbua watoto wetu wapo huko na rais lazima atoke Kaskazini hao wengine wanatafuta umaarufu tu hapa CHADEMA.

Sasa nawauliza hiyo serikali itakuwa ya kibaguzi wao wasilipe wengine wasilipe je hiyo ni haki?

Kichaa huwa kinaanza polepole tu........na kichaa sio lazima atembee uchi
 
Mimi naipenda CHADEMA lakini mimi ni mtu wa Kagera. Naona mafisadi ma.---- yanawatetemeka, mnaogopa CHADEMA kuwakatia mirija ya wizi
 
Mirija gani, ya.Mbowe kuwauzia mafuso na maspika mabovu au ule wa Slaa kukopeshwa na chama mamilioni bila utaratibu na hadi leo hajalipa!
 
Kwa taarifa yako CHADEMA ina nguvu kubwa kanda ya ziwa na miji muhimu kama Arusha, Mbeya, Mwanza.Dar kuna sua sua.Inaenea kwa kasi kanda ya kati na kusini, kazi mnayo.Achana na propaganda za wajinga wa C.C.M, utakuwa ----- hata usiijue vema nchi yako, unakaririshwa upumbavu?
 
Mwanza, mbeya, mara, kigoma, arusha, dar, iringa na singida huko pia hawataki kulipa kodi
Umempasha vyema.

Yeye anaturudishiia 'single' ya ukabila na ukaskizini ambayo ilishachuja siku nyingi.

Nimuulize tu mleta mada hivi Sugu hadi amefikia anaitwa Rais wa Mbeya, kwani huko nako ni kaskazini?

Hivi Wenje pale Nyamagana hadi akamdondosha 'heavyweight' Masha, kwani pale Mwanza napo ni kaskazini?

Hivi John Mnyika wa Ubungo na Halima Mdee wa Kawe, walioutwaa huo ubunge jijini Dar, ina maana Dar imemove kimiujiza na hivi sasa location yake ni kaskazini?

Ingawa pale Lumumba wametoa ajira kwa vijana kwa ajili ya kueneza propaganda humu JF ili wapate riziki ya buku 7 kila siku.

Kwa kiwango ulichoonyesha kwenye post hii, Napee hatakupa hata buku moja kwenye malipo ya leo!
 
Mods kwa kuendekeza ujinga kama huu mnashusha hadhi ya JF! Tunduma ni Kaskazini? Mbona wanaifagilia CHADEMA kupita maelezo? Mwanza, Shinyanga, Iringa, Mbeya na Dar es Salaam nako ni Kaskazini? Huyu Jamaa anastahili Ban ya Maisha kwa kupanda mbegu mbaya yenye uelekeo wa kuwagawa Watanzania....
Habari za watu watokao nyanda za juu Kaskazini kuishabikia CHADEMA kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi CHADEMA ikichukua nchi TRA haitawasumbua watoto wetu wapo huko na rais lazima atoke Kaskazini hao wengine wanatafuta umaarufu tu hapa CHADEMA.

Sasa nawauliza hiyo serikali itakuwa ya kibaguzi wao wasilipe wengine wasilipe je hiyo ni haki?
 
Habari za watu watokao nyanda za juu Kaskazini kuishabikia CHADEMA kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi CHADEMA ikichukua nchi TRA haitawasumbua watoto wetu wapo huko na rais lazima atoke Kaskazini hao wengine wanatafuta umaarufu tu hapa CHADEMA.

Sasa nawauliza hiyo serikali itakuwa ya kibaguzi wao wasilipe wengine wasilipe je hiyo ni haki?
fuc...ke....n
 
fikiri kwa kutumia kichwa ,sio unatumia naniliiii........, nan kakwambia ukishabikia chadema lazima uwe umetokea kaskazin ,na huo ukabila na udin mnaolialia nao kila siku ccm ndo wanauendekeza kama kujihami dhid ya chadema ili watz waone na chama cha kikanda ,kikabila na kidin .
 
Back
Top Bottom