Arusha special

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,204
128,011
[h=6]Wana wa Arusha na wapenzi wa Chadema:
Mbunge wa Arusha mjini Mh, Godbless Lema anawaalika kwenye mkutano wa kujadili maendeleo ya Arusha mjini. Mkutano utafanyika Hotel Manor sakina saa nane kamili mchana leo tarehe 30/11/2011, mtaarifu na mwenzako.
[/h]
 
Wana wa Arusha na wapenzi wa Chadema:
Mbunge wa Arusha mjini Mh, Godbless Lema anawaalika kwenye mkutano wa kujadili maendeleo ya Arusha mjini. Mkutano utafanyika Hotel Manor sakina saa nane kamili mchana leo tarehe 30/11/2011, mtaarifu na mwenzako.
Mlio Arusha kalisikilizeni jembe likitaka maoni ili liyafanyie kazi, maana kila siku wamezoea kumnukisha oooooh hafanyi kazi n.k
Heko jembe Lema.
 
Back
Top Bottom