Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,918
- 8,704
Kisongo haipo wilaya Ya Monduli.
Je Ni Noah za Karatu au ni Private?
Kuna Noah pia huwa zinatoka Mdori,, Babati na Magugu..
Ila hio inaonekana ni Private...
Kisongo haipo wilaya Ya Monduli.
Je Ni Noah za Karatu au ni Private?
Traffick wakikamata wabongo tunaleta majungu.RIP kwa wote waliotangulia mbele ya haki na majeruhi wote wapate quick recovery, tusikimbilie kwenye majibu rahisi, tatizo kubwa barabara zetu bado zipo duni mno, finyu mno,na magari mengi hayana sifa za kuwa barabarani