ARUSHA SASA KIMTINDO WAMEUKATA

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,944
2,030
N kijenge sijajua maeneo mengine ya jiji hili sijajua,maana mchana dk moja unakatika dk moja unarudi umekuwa n mchezo wao tanesco arusha mida ya mchana sijui wanamwogopa nan mida hiyo,muda huku wanaukata hawajari wanaukata tuu,bila haya taarifa kama arusha kuna mgao,nan atumbue hili jipu LA mgao wa umeme tz maana limekuwa tezi hapa tz viongoz limewashinda
 
Back
Top Bottom