Mgao wa kimyakimya wa umeme

syndicate

JF-Expert Member
May 5, 2016
204
315
Asalaam aleikhum TANESCO, naomba kuuliza swali, je mgao wa umeme Umerudi kimya kimya?

Kwa zaidi ya wiki moja Sasa kumekuwa na katika katika ya umeme nchini bila kuwa na taarifa yoyote au ratiba.

Natoa mfano mmoja, Hapa manispaa ya tabora (Tabora mjini, CBD) umeme unakatika masaa 6 mpaka 7 kwa siku hasa saa za kazi (mchana) na kurudi masaa mawili au matatu nyakati za jioni, alafu ikifika usiku unakatwa Tena bila taarifa na sababu za msingi.

Jambo Hili limekuwa kero Sana, pia limekuwa tishio kwa usalama wa watu na Mali zao.

Mkurugenzi mkuu tanesco Tanzania, Ndugu Maharage Tamko lako la mwaka Jana kuwa kuanzia mwezi January 2023, Tatizo la umeme nchini litakuwa historia baada ya matengenezo makubwa ya mitambo, je lilikuwa ni kumdanganya Mama Mh. Rais Dk. Samia suluhu Hassan au kuwadanganya watanzania?

Sisi wananchi wa kawaida tunaomba majibu kabla hatujapeleka kimemo kwa wenye mamlaka!
 
Meneja wa Tabora anazingua sana
 
Back
Top Bottom