Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,292
Hata itokee bahati mbaya sana akashinda, bado hatorudia tena ile tabia yake ya ubabe!Naona kama jamaa anaenda kushinda
Anajifariji tuuuLakini mbona hana wasiwasi kabisa.
Naona Dogo anatupia tu suti ili kuendeleza Legacy ya Ukuu wake wa Wilaya!!
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Silivester Nyegu na Daniel Mbula, leo wamepandishwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha baada ya kesi yao kuhamishwa kutoka Mahakama ya Mkoa wa Arusha.
Kutokana na ufinyu wa nafasi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, kesi hiyo imepelekwa kusikilizwa katika vyumba vya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha ambapo inatarajiwa kusikilizwa kwa siku 14 mfululizo.
Mbwembwe tu hizo. Hapo uDC katumbuliwa, kadhalilika na jela/Kisongo amekaa. Hapo hata akitolewa ni funzo tosha kwake na viongozi uchwara wengine.Lakini mbona hana wasiwasi kabisa.
Hahah ngoja azivae maana akifungwa ndugu watazigawanaNaona Dogo anatupia tu suti ili kuendeleza Legacy ya Ukuu wake wa Wilaya!!
Lakini mbona hana wasiwasi kabisa.
Deal done.....labdaLakini mbona hana wasiwasi kabisa.
Bado ni Mfanyakazi wa idara flani,na hizo ni uniform za idara hiyo,na hata confidence aliyonayo inatokana na mbeleko anayoshikiziwa na wana idara,siku idara ikiamua kumtema mutamuonea huruma,huwa hawakutemi kienyeji enyeji,lazima wahakikishe kwanza umenyooka na utaendelea kuwa mnyoofu milele,au usiwepo milele!!Naona Dogo anatupia tu suti ili kuendeleza Legacy ya Ukuu wake wa Wilaya!!