Arusha: Sabaya na wenzake wafikishwa mahakamani kwa ajili ya kuanza kusikilizwa kwa kesi

Sawa Musiba, vipi umepona? Maana ulivyohojiwa kuhusu kutowalipa mshahara wale wajinga wenzio ukasema unapambania uhai wako unahisi mwendakuzimu anakuita
 
Sabaya ni jambazi no matter what, nimemuona kwenye CCTV Camera akiwa na silaha akiingia hoteli ya Mbowe bila ruhusa usiku halafu uje kuniletea habari za shahidi sijui kafanyaje, sikuelewi.
 
Ngoja tuone hawa wahujumu uchumi na wakwepa kodi kitu gani kimewapa imani samia sio magufuli.
 
Kumbe mleta uzi ni Musiba Mulaga a.k,a Veronica France!!!??
Pole kama ndo umemfahamu leo!

Muulize alipoonywa ile mwezi wa4 kuhusu kumuua mama kwenye mitandao ya kijamii toka hapo kabadili upepo.

Huyo ndo bibie Cyprian Musiba, dada Vero
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom