Arusha: Rais Samia atoa TZS 520BL sawa na 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka

Rudi shule ukajifunze propaganda, huo mradi ni wa enzi za JK, tena dhalimu alitaka kupora hizo hela apeleke huo mradi kanda ya ziwa, watoa mkopo wakamgomea. Katafuteni wajinga wasiojua lolote ndio uwalishe hii propaganda mfu.
Imradi tu iwepo sehemu ya kumponda mwendazake na kumsifia JK.Tuna upinzani wa ovyo sana.Nyie watu Magufuli alishakufa na hakuna haja ya kuendelea kupambana naye kama njia ya kushika dora.
 
Kichwa cha habari ulichikiweka ni hatari sana kwani nchi haiongozi kwa mahaba hata kama katoa pesa nyingi serikali imeona Arusha inastaili
 
Mbona unajichanganya sana hahahahhah. Chuki dhidi ya Magufuli hazitawaingiza madarakani
 
...,Rais ametoa Jumla ya Tshs 520BL zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa kwaajili ya kuzika kabisa tatizo sugu la maji la nenda urudi uje,tatizo lililowashinda wabunge wote wa NCCR, TLP na CHADEMA katika nyakati na muda tofauti
Hapo umeweka chumvi, unapolinganisha mwakilishi wa wananchi (mbunge bila kujali mpinzani au CCM) vs mwenye uamuzi wa mwisho serikalini usioweza kupingika popote akiwa madarakani (rais).
Ingekuwa fair kama ungewalinganisha marais wote waliopita vs wa sasa, maana hao waliopita walikuwa na uwezo pia wa kufanya hivyo, lakini pengine haukuwa uamuzi chaguo lao
 
Mbona zimetolewa awamu ya tano na mradi karibu unakamilika
Boss, usishangae, hawa ndio vijana wetu, hawajui trillions 2 zilitolewa mkopo kwa ajiri ya miradi ya maji Tanzania, Arusha wakapata Bil500 , zingine zikapelekwa mikoa mingine.
 
Umemharibia tayari, maana umedai ana mahaba na kasikazini kwa mantiki hiyo kwingine kote hana mahaba......that is pure corruption
 
Mnamharibia mama...Hizi fedha mnazotumia kwa propaganda kumchonganisha na aliyekuwa bosi wake zinamdhoofisha.Yeye keshasema Kazi inaendelea maana yake utekelezaji wa ilani ya CCM haujakosewa na kama kawaida CCM ina tabia ya kujirekebisha.Anaporekebisha masuala fulani ni kwa Afya ya CCM na nchi na imekuwa ikifanyika hivyo hata wakati Mwinyi anachukua madaraka kwa Nyerere...Mkapa alipochukua madaraka kwa Mwinyi...kikwete alipochukua kwa mkapa na hata Magufuli alipochukua kwa kikwete...CCM must be careful to these groups kwa sababu mwisho wa siku CCM itashindwa uchaguzi
 
Hahahha wewe jamaa unaakili ndogo sana,

Hebu tuambie Rais kuweka 520bl kwenye maji kunamuharibiaje Rais na CCM?

Au ndio kulinda tu legacy?
 
Zilitolewa lini?

Hahaha huu mwaka mgumu sana kwa pingapinga
Boss, usishangae, hawa ndio vijana wetu, hawajui trillions 2 zilitolewa mkopo kwa ajiri ya miradi ya maji Tanzania, Arusha wakapata Bil500 , zingine zikapelekwa mikoa mingine.
 
Chadema mmetuchelewesha sana Ova
 
Hahahha wewe jamaa unaakili ndogo sana,

Hebu tuambie Rais kuweka 520bl kwenye maji kunamuharibiaje Rais na CCM?

Au ndio kulinda tu legacy?
Mkuu

Hizo namba za pesa zinazotajwa hazina uhalisia wowote maana hakuna yoyote yaliyotamalaki kama inavyodaiwa inawezekana zinapigwa kwa kichaka kwamba zimetolewa kuboreesha huduma ya maji.
 
Kichwa cha habari ulichikiweka ni hatari sana kwani nchi haiongozi kwa mahaba hata kama katoa pesa nyingi serikali imeona Arusha inastaili
Magnification ya hoja, Huoni huo upendo wewe?
 
Mkuu

Hizo namba za pesa zinazotajwa hazina uhalisia wowote maana hakuna yoyote yaliyotamalaki kama inavyodaiwa inawezekana zinapigwa kwa kichaka kwamba zimetolewa kuboreesha huduma ya maji.
Hii ni hoja mpya sasa na niya CAG,

MIMI NACHOJUA MAMA KATOA 520B HAYO MENGINE MTAFUTE CAG
 
Lemma katuchelewesha sana
 
Moshi tumemwomba barabara hataki, tukamwomba jiji la Moshi hakutaka, sasa sijui anataka tumwombe nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…