Arusha: Polisi waua majambazi watano. RC Gambo atoa pongezi

Nahisi simu waliyo iba toka kwa Msangi iliwaponza. walikuwa wana itumia wakafuatiliwa mawasiliano.
Au walie muuzia aliitumia akabanwa na polisi akawataja walio muuzia wakaanza kuwafuatilia mawasiliano yao.
 
Mnaowatetea majambazi hamjawahi fanyiwa kitu mbaya na hii mijitu ni zaidi ya mauti wakikufanyia tukio yani polisi sometimes siwafagilii ila kwenye kuwaua hawa agents wa mauti nawapa Hongera na pongezi. Nilikua duka moja la kunadilishia fedha pale moshi karibu na soko walivamia aiseee hawa si binadamu wanakuja na funguo za kuzimu
 
Bunduki wanachinjia kuku?, ukikutwa na Bunduki straight mochwari, kama Rwanda wameweza sisi tulishindwa nn? Tunataka nchi ya usalama sio wengine watafute kwa jasho wengine wajichukulie kiulaini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una uhakika walikutwa na bunduki? Inaelekea bado hujawahi kukutana na uhuni wa polisi wa Tanzania, siwatetei wahalifu ila nitakuwa wa mwisho kuwaamini polisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom