pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 693
- 889
Habari ndugu zangu wa Jf? Ningependa kuuliza kwamba, Arusha one ndiye anayemiliki blog ya Arusha one pamoja na station ya Radio ya Arusha one? MUNGU amjalie ndugu yetu huyu kama ndio yeye.
Kwani na wewe ni wa mtaa unaoitwa kwa Mrefu. Nipo Arusha hapa Meru postal.:A S wink:so what
Na wewe acha punye*o.acha konyagi mkuu!
Iinaelekea wewe ni kina anti flani. Mwanaume hawezi kuwa na maswali kama yako.Umempenda umrmtamani
itakuwa ni ya kwake! matangazo ya miss chit chat yalikuwa yanarushwa live!
hata kampeni pia..