JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
- Thread starter
-
- #61
Karibia tena....
namakutafuta sana veve... j4 nakuibukia siwezi subiriKaribu tena! Nahitaji busara zako mkuu...
Mkuu hii kitu ni ajenda ya Magamba kujichukulia ujiko 2015, hivyo usitegemee iishe karibuni
sawa mkuu
msalimie sana loya wangu
mwambie nammisi sana!
Pitia tanga basi
Karibu tena na tena mkuu Jiwe Linaloishi japo kukutana kwetu ilikuwa kama jua kukutana na mwezi kutokana na majukumu
Karibu tena mkuu na safari njema.
salam zimefika ila kajificha....
aahh sorry my dear ratiba ilikuwa tite, tanga ntakuja kukaa siyo kupita tu vuta subira,,
karibu sana
mbona yupo jamani
kwa hiyo zawadi hajaipata bado dah!
kageuka kaka kuona... au washamnyakua... si unajua dar kibaridi kidogo tu kila jinsia inakuwa dili
weeeee!hakuna wa kumnyakua
ana tego la chatu ole wake atakaejaribu!
ahhh dar achana nayo wamebeba na tego lake mbele kwa mbele
kwa hiyo wana tego proof!nafwa mie presure!
nashukuru kama umelitambua hilo.... be cool ntakuletea dawa yake
dawa labda ukija uje nae!
we ngoja aje aseme kama kwelihiyoo itakuwa ngumu sana..... labda nimuweke kwenye kiroba hivi hivvi hatoki dar ashakuwa luba
namakutafuta sana veve... j4 nakuibukia siwezi subiri
nipe majira ntakusubiri mimi mwenyewe.............
we ngoja aje aseme kama kweli
maana mnajua kumuonea Ruttashobolwa wangu
kama nini,bado sijakuamini Jiwe Linaloishi!